HELSB acheni Visa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Eti kuna jamaa kaja hapa ofisini leo anatafuta watu ambao walisomeshwa kwa Mkpo wanataka waanze kuwakata, mbona hawa wezi wao wanaachwa huru? Sijui niwajibuje hata sielewi?
 
Acha ujeuri, wewe ulikopa kwa makubaliano unatakiwa kulipa. kukataa au kufanya ujanjaujanja ili usirudishe kodi zetu ni sawa tu na hao wezi, huwezi kusawazisha kosa kwa kosa jingine, ndo kasumba yetu tulio wengi tunapenda sana kunyooshea vidole wengine na kusahau wajibu wetu. Sheria inakutaka ujitokeze mwenyewe na siyo kufuatwa..kwa kauli yako sioni tofauti yako na hao wezi
 
wengine hata hatukusoma UD lakini majina yetu yamo katika orodha ya wadaiwa waliosoma UD. wezi sana hawa.
 
Hahhaaa laiti ungelijua, sijawahi kuwa chini ya Loan board, hivi wanataka wakate 250,000 na huku nalipa PAYE 475,000, sasa si nitakua nawafanyia kazi wao???
Acha ujeuri, wewe ulikopa kwa makubaliano unatakiwa kulipa. kukataa au kufanya ujanjaujanja ili usirudishe kodi zetu ni sawa tu na hao wezi, huwezi kusawazisha kosa kwa kosa jingine, ndo kasumba yetu tulio wengi tunapenda sana kunyooshea vidole wengine na kusahau wajibu wetu. Sheria inakutaka ujitokeze mwenyewe na siyo kufuatwa..kwa kauli yako sioni tofauti yako na hao wezi
 
Eti kuna jamaa kaja hapa ofisini leo anatafuta watu ambao walisomeshwa kwa Mkpo wanataka waanze kuwakata, mbona hawa wezi wao wanaachwa huru? Sijui niwajibuje hata sielewi?

wale waliiba wewe ulikopa
 
Lipeni hela ya watu hallow! Yaani unataka ujifiche wakati ulikopa?! Nyamb..f! Tena jamaa wakaze uzi kabisa na ikiwezekan. watufuate na sisi wadhamini tuwaelekeze wanakofanyia kazi hao wadaiwa sugu!
 
HESLB =8% ya mshahara uwe ulikopeshwa 0 OR 100, VYAMA VYA WAFANYAKAZI = 2%, KODI as you earn, PENSION.... BIMA,..N.K..., MTAISHIA KUTOZWA NA WENGI WA WAFANYAKAZI KAMA SI FISADI TANZANIA HUFA MASKINI- WENGINE WAKITEGEMEA KUJENGA NYUMBA ZAO NA FEDHA ZA KUSTAAFU, WENGNE HUFA PRESHA YAN MAWAZO MENG!. ...... UTUKUZWE UPOLE WA WAAFRIKA NA UJANJA WA WACHACHE WAO KM MOBUTU, MKAPA, KWEKWETE, RIZIWAN, NGELEJA,...N.K
 
We kaa kmya zako,huyo aliyekuja kukuuliza ameanza kulipa yeye?No.Wizi mtupu.BY THEN wanakata hata kuzingatia utaratbu,wangekata kutokana na means testg.Wapuuzi kweli kweli
 
Wakinikata deni naacha kazi nakua mjasilia mali tu,kama hela nisharudisha nakatwa kodi tangia 2007 karibia 210-350 kwa mwezi mara miaka mi5 hyo milioni 6 yao haijafika tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom