Hi JF members,.. Nahitaji msaada wenu....hv karibuni nimetoa bikra yangu ingawa cna uhakika if kweli imetoka kwani nilickia ikitoka damu hutoka pia bt mimi cjaona damu..mnavyoona bikra imetoka au? Na mpenzi wangu alipojaribu tena akiwa anaslide kwenda ndani zaidi kuna maumivu nayackia nakuwa cfurahii penzi kivile,.na la zaidi nikiwa nampa romance mpenzi wangu majimaji ya ukeni huwa hayatoki cjui y mpaka atumie mate yake ili niwe wet..jamani nahitaji elimu kutoka kwenu mwenye uelewa ktk hili kwani nahitaji kufurahia mapenzi na km girls wengine..ahsanteni!