Help me with mp3 player software

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Salaam wanajamii. Nisaidie wapi nipate mp3 player kwa notebook yangu. Nina window 7. Pia kama nawezapata office 2007 software nitashukuru.
 
Hebu ka google huko, hatuendekezi u lousy na uvivu wa utafiti enzi hizi za mapinduzi ya habari
 
TEH TEH TEH!!!!!!!!!!
 
Hebu ka google huko, hatuendekezi u lousy na uvivu wa utafiti enzi hizi za mapinduzi ya habari

Mkuu kama huna jibu ni better kukaa kimya sio wote wanaijuwa net kama unavyojuwa wewe.....so tujaribu kushauriana kwa kila jambo hii ni sehemu ya kusaidiana na ndio maisha yanavyokwenda....
 
My friends, thanks for all support u have given me and for all comments u have made....but as Papizo said, its not true kwamba kila mtu yupo vizuri sana kwenye haya mambo, although kwangu mimi sivyo kama mnavyodhani Hinx6 na Taso, i have been using internet for more than 13 years now, i know alot of programs, i know how to find them, najua search engine nyingi sana na huenda mambazo hamfahamu, najua pirates webs pia, so don't just take simple and bring jokes, simple answers like that. Anyway i still thank you all for support.
 
Dah kumbe maswal yako ulikuwa unataka kuwachora tu watu.

Experince ya intenet unayo
i have been using internet for more than 13 years

Knowledge unayo
i know alot of programs,

Where to find what unajua pia
  • najua search engine nyingi sana na huenda mambazo hamfahamu
  • najua pirates webs pia

Kwa maelezo yako ya juu hayaendani na maswali haya
  • Nisaidie wapi nipate mp3 player kwa notebook yangu
Just kwenye hizo sercah engine unazojua andika "dowalod media player"
au nadika "Download VLC this is best for me"

  • Pia kama nawezapata office 2007 software nitashukuru.
Kwenye hizo pirate web utapa microsoft office 2007
Kama unataka ya kununuabasi nenda microsoft.com
 
Zig nashukuru sana mkuu kwa comments zako, nimezama huko lakini haikuwa imekaa vizuri mkuu....., VLC ninayo na zingine, nimejaribu kudownload MP3 nilichopata kimegoma ku play video badala yake nasikia sauti tu.....kuhusu Office 2007, pirates web zangu possible zipo weak ku hack, that is the point to ask for more support. Bila shaka umenipata mkubwa.
 
Sasa mkuu unataka player inayosupport codec gani au unataka kuplay media yenye format gani i.e.avi,mpg....Halafu MP3 imetengenezwa kuplay audio sasa sijui wewe ulitakaje?
Hapo kwenye red sijakuelewa labda unifafanulie please.
 
Zig nashukuru sana mkuu kwa comments zako, nimezama huko lakini haikuwa imekaa vizuri mkuu....., VLC ninayo na zingine, nimejaribu kudownload MP3 nilichopata kimegoma ku play video badala yake nasikia sauti tu.....kuhusu Office 2007, pirates web zangu possible zipo weak ku hack, that is the point to ask for more support. Bila shaka umenipata mkubwa.

Mkuu MP3 si inaplay audio pekee au?.
Mkuu kama kweli wewe ni mzoefu wa internet kama ulivyojieleza kwa maoni yangu naona kama hukupaswa kuuliza swali hili kwa jinsi hiyo, walau ungedadafua kidogo unaipi,inagoma nini au ulijaribu ipi ikawaje au unataka inayoconvert na kuplay format ipi nk u know what i mean.
Realplayer is best for me, inaplay audio/video za format mbali mbali bahati mbaya sina link yake, microsoft office hata mimi naivizia hapa, hope utapata msaada kwa wadau
 
Zig nashukuru sana mkuu kwa comments zako, nimezama huko lakini haikuwa imekaa vizuri mkuu....., VLC ninayo na zingine, nimejaribu kudownload MP3 nilichopata kimegoma ku play video badala yake nasikia sauti tu.....kuhusu Office 2007, pirates web zangu possible zipo weak ku hack, that is the point to ask for more support. Bila shaka umenipata mkubwa.
Microsoft Office 2007 Home and Student Edition (New keys + Activation) | 314 MB
http://tinyurl.com/6ghrvov
 
... although kwangu mimi sivyo kama mnavyodhani Hinx6 na Taso, i have been using internet for more than 13 years now, i know alot of programs, i know how to find them, najua search engine nyingi sana na huenda mambazo hamfahamu, najua pirates webs pia
Oh yeah? Lakini ukashindwa kuipata hii ya MP3 Player? Au unapenda kufanyiwa kila kitu na wenzio? Ni hatari.

so don't just take simple and bring jokes, simple answers like that.
"don't take simple" ndio nini?
 
Dah mkuu umevuruga watu humu kwa majigamo yako.....kuwa umetumia kwa 13yrs kwa hilo tu ungeshakuwa umepata solution zamani.Kama ume download MP3 imegoma ku play...kuna program moja naona kwangu hata zile video ngumu kwake ina play inaitwa mpstar..google..udownload na ni free...uta play kila kitu.
 
Zig nashukuru sana mkuu kwa comments zako, nimezama huko lakini haikuwa imekaa vizuri mkuu....., VLC ninayo na zingine, nimejaribu kudownload MP3 nilichopata kimegoma ku play video badala yake nasikia sauti tu.....kuhusu Office 2007, pirates web zangu possible zipo weak ku hack, that is the point to ask for more support. Bila shaka umenipata mkubwa.

unaweza kuliweka hilo file hapa lililogoma kucheza kwenye VLC . Au tuambie ni file la wimbo gani? Na uisema unashindwa ku hack pirate webs una maanisha nini ?

nadhani unatatizo lingine tofauti kabisa na unachouliza. Kwa experince yangu ya support sometime user anaweza kukuambia tatizo kumbe lile tatizo analojaribu kukufafanulia sio tatizo halisi alilonalo.

kamaa alivyosema mdau mmoja mp3 ni file la audi na sio video . So usitegemeee kuona video kwenye file lenye extension ya mp3. ikitokea ukaona video utakuwa ni muujiza.
.............MP3 is an audio-specific format that was designed by the Moving Picture Experts Group as part of its MPEG-1 standard and later extended in MPEG-2 standard............. - Source wikipedia
Kuhusu Ms office 2007 nenda hapaMS Office 2007 Enterprise (Activated And Tested!) (download torrent) - TPBDownload hiyo. Assmption nikuwa kwenye pc yako unayo dowload manager kama biittorent au vuze ya kukuwezesha kulipakua hilo file. Kama huna basi kwanza download bittorent ni frree uki google uitaipata.

.
 
Mtazamaji nakushukuru sana, umeeleza ukweli mkuu......."upo sahihi kabisa"
 
unaweza kuliweka hilo file hapa lililogoma kucheza kwenye VLC . Au tuambie ni file la wimbo gani? Na uisema unashindwa ku hack pirate webs una maanisha nini ?

nadhani unatatizo lingine tofauti kabisa na unachouliza. Kwa experince yangu ya support sometime user anaweza kukuambia tatizo kumbe lile tatizo analojaribu kukufafanulia sio tatizo halisi alilonalo.

kamaa alivyosema mdau mmoja mp3 ni file la audi na sio video . So usitegemeee kuona video kwenye file lenye extension ya mp3. ikitokea ukaona video utakuwa ni muujiza.
Kuhusu Ms office 2007 nenda hapaMS Office 2007 Enterprise (Activated And Tested!) (download torrent) - TPBDownload hiyo. Assmption nikuwa kwenye pc yako unayo dowload manager kama biittorent au vuze ya kukuwezesha kulipakua hilo file. Kama huna basi kwanza download bittorent ni frree uki google uitaipata.

.

Mtanzamaji thanks again we ni mkuu kwa msaada..ntakucheck kwa PM kuna swala jingine tena linanitatiza..hili kwa kweli sina ufahamu nalo ntaliweka hapa tuone tutasaidianaje.Check post yako ya convertion..ya files..nimekujibu kwa msaada.
 
Back
Top Bottom