help, Ipad users!!

Kwa kifupi iPad haina uwezo wa kutuma sms kama iljvyo, operating system yake hairuhusu. Kwa jailbroken ipads kulikuwa na App ya sms Cydia store enzi hizo, ila sijui kama bado inapatikana.
 
Kama unatumia sim card ya airtel c must utoe line ilikununua bando unaweza kununua kwakupitia simu nyingine ya pembeni me mwenye imekuwa ikinikera sana
 
Basi kama huoni app ya sms Cydia maana yake haiwezekani siku hizi. Hata voda unaweza kununua kwa kutumia simu nyingine.
 
Download bite sms kutoka cydia aisee...mimi iphone niliizinguaga ikawa sms zinaingia lakini hazionekani..so jaribu hako ka app kanaweza kukusaidia...Over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom