Help: I cant wash his underwear

Wakati mwingine naona wanawake wako kama watumwa vile... dume lifanyiwe kila kitu, kila kitu...
umpikie, umfulie, umpasie nguo, umuandalie ipi avae, soksi na boksa ziwe safi, utandike kitanda na bado kila iitwapo usiku ulale bila pichu...
mwisho wa mwezi mnagawana majukumu 50/50...
Its not fair kwa wanawake, lol.
Unatafuta fairness ipi ndugu?
 
I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishi
ng his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel

Soln
Mtafutie house girl wa kufanya hizo kazi. Mind you siku apimpandisha cheo usilalamike Ok.
 
Ngoja akutane na akina mama naniii huko mtaa wa tatu uone kama atakukumbuka tena;
utabaki unaitazama pete.
 
I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishi
ng his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel
Dada rachel!! This is your private business. Hayatuhusu. Nendeni mkamalizeni wenyewe.
 
Pole sana. Ni lini wanaume tutaacha kuwafanya wake zetu watumwa?? Ni furaha iliyoje kumwona mke wako anachoka sana tena wakati mwingine akiwa mjamzito? Wewe unafurahije kukaa juu ya sofa unaangalia Tv na kusoma magazeti ili hali mkeo anateseka na kazi. Halafu usiku au mchana huo huo unamataka kitandani akutimizie ndoa!!! Je na kuchoka huko unategemea ufanisi? Usipopata ufanisi unatafuta nyumba ndogo au kuja kurusha matatizo yako ya ndani JF!!! Wewe ndiyo chanzo. Kuna wakati miaka hiyo rafiki yangu alikuwa anamwachia mke wake kila kazi ili hali watoto walikuwa ni wadogo na waliofuatana sana. Mke alikuwa anachoka sana na ugomvi kila usiku maana mgongo unauma. Siku moja nikawakaribisha nyumbani makusudi kabisa. Nami nilikuwa na watoto almost same age kama yeye. Niliwaalika kuanzia lunch hadi dinner, it was our day. Nakumbuka walifika kama saa nne hivi maana walikuwa wanatokea mbali na usafiri walikuwa hawana (ngumu kupata magari enzi zile japo JABA ilikuwa kusaidia kidogo -tumetoka mbali sana). Alipofika tukawalaki na nikaanza kuwaandalia chai huku mwenzangu akiwa busy na kulisha watoto (tulikuwa tumetoka ibada). Walipomaliza kupata kifungua kinywa basi nikaondoa vyombo na kuweka meza vizuri (binti wa kazi alikuwa amekwenda ibada na tulikuwa tunasubiri dada yangu afike kutusaidia kupika kwa ajili ya ugeni ule). Rafiki yangu yule aninikodolea macho sana. Baadaye watoto wakawa wanacheza na wale wa kwake nikawaaga kuwa ngoja nimpe mama support kidogo. Nikaingia jikoni tukaanza kukata nyama na kuanza mapishi na dada yangu akawasili tukaendelea kusaidia kazi za mapishi. Tulikula na tulipomaliza nikajiunga nao wakati dada na binti wa kazi anaendelea na kazi za usafi baada ya kula.
Baadaye jioni wakati tunawasindikiza akaniambia kuwa atanipigia kesho yake kuna issue (hakukuwa na mobile alitumia ttcl ofisini). Ainipigia kunishangaa ila nikamwambia mke ni msaidizi na mwanaume maana yake ndiye mtendaji mkuu. Kuanzia siku ile alibadilika na mkewe alipata ahueni na mapenzi makubwa katika familia. Mke ni msaidizi wako na si mtumwa au mtwana. Hakuna cha limbwata bali ni upendo na wadogo zangu wote wa kiume niliwaonyesha njia and are happily married.

hilo ni limbwata maana aliyepewa limbwata hawezi kujua mpaka li expire yaani mkeo, dada yako, na housegirl hawatoshi mpaka na wewe ukashughulike hiyo ni too much brooo!
 
I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishi
ng his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel

For the sake of your marriage do whatever pleases him, provided it does not go against God's instructions
 
kwenye issue ya mshahara wa mke kuchangia budget ya ndani kuna ugumu

Pole mkuu, mwanamke yuko hivi. Kama wewe unampenda kwa dhati na kuwa kila kitu cha maendeleo unamshirikisha na kuwa hela yako hupeleke kwa mistresses basi nakuhakikishia hela yake atashiriki na wewe katika kila hali. Wanachohitaji hawa watu ni security kuwa wanapendwa na kuwa kila kitu wanamiliki pia. Sasa wewe kila siku unabadili vichuguu vya wanawake ni mwanamke yupi atakuamini?? Mkuu nilikwenda nje kusoma kipindi Fulani kwa mwaka mmoja tu kwa hiyo tukawa na majukumu na sikuweza kwenda na familia watoto walikuwa shule na issue nyingine kibao tu. Kulikuwa na mradi wa ujenzi na nikaamua kusitisha kwa kuwa niliona ni bora hela yangu ya mshahara nusu nzima niliamua awe anaandikiwa check mke na nusu kwenye account yangu japo na yeye ana income pia. Mwezi mmoja kabla sijamaliza masomo nilimwita aje ani join na kusheherekea graduation na alibahatika kupata visa!!! Alifurahi sana na akawa ananieleza mambo mengi mbali mbali ya maendeleo aliyofanya pindi sipo na watoto kwa ujumla. Akaficha kimoja!!!!! Kumbe alikazana sana na akawa anendelea na ujenzi tena kwa ufasaha kuliko mimi (huwa yeye na mafundi ni kiboko yao maana utafikiri ni mhandisi). Niliporudi akanipeleka site, sikumini macho yangu. Muhimu mfanye mke ajenge imani nawe kuanzia wakati wa urafiki, day one
 
i love your comment, she just added "Rachel" to make ownership of everything. jamiiforums is very interesting people don't bother to read other comments, if they could have read your comment they could not reply to thread which is not realistic to her.

Hayo ni maajabu mengine ya watu wa JF...
 
hilo ni limbwata maana aliyepewa limbwata hawezi kujua mpaka li expire yaani mkeo, dada yako, na housegirl hawatoshi mpaka na wewe ukashughulike hiyo ni too much brooo!

Mkuu nakataa hakuna cha limbwata hapa ni upendo wa dhati tu. Hadi leo tunajukuu limbwata bado lipo?? Nilijifunza sana kwa baba yangu mzazi ambaye ni marehemu. Mpaka sisi watoto hakukuwa na wa kike wala wa kiume, wote tulifua, kupika, kuchota maji, kukamua, kufagia uwanja, yaani kila kitu hadi nafika chuo kikuu nilikuwa nikirudi home napika na familia nzima inakula. Baba yangu (R.I.P) hata mama alipokuwa anajifungua baba alikuwa anampikia na sisi tukirudi shule tunakuta chakula. We had such a wonderful dad. Na mama yangu hata akienda kutembelea watoto akikuta mwanaye wa kiume anashiriki majukumu ya nyumbani hana cha kusema maana hata yeye alifanyiwa. Ninakuhakikishia ndoa zitadumu tu labla uwe umeoa kituko. Inawezekana limbwato linakuwepo ila siku zote ndumba hazidumu hata kidogo, siku zitakataa tu na ikikataa ndumba jua hali inakuwa mbaya zaidi.
 
Bora wewe mwanaume umeongea mtu anatakiwa afanye kwa mapenzi na sio utumwa kutoelewa mipaka ns majukumu yetu nalo tatizo kubwa la vurugu na dharau tunazzozioNa kwenye ndoa leo. lOTE=Eli79;8468900]Wakati mwingine naona wanawake wako kama watumwa vile... dume lifanyiwe kila kitu, kila kitu...
umpikie, umfulie, umpasie nguo, umuandalie ipi avae, soksi na boksa ziwe safi, utandike kitanda na bado kila iitwapo usiku ulale bila pichu...
mwisho wa mwezi mnagawana majukumu 50/50...
Its not fair kwa wanawake, lol.[/QUOTE]
 
Very positive minded, Mungu akubariki wewe na familia yako. Seriously, wewe ni kichwa cha kristo ktk familia yako
 
Back
Top Bottom