Help: I cant wash his underwear

Hiiiiiiiiiiiiiiiiii haya majanga sasa!!
Yaani kufua chupi ya mwanaume nalo ni jukumu la mkewe? Aaaa salalaaaaa!!!

Vitu vingine ni favour, na vinafanywa kwa mapenzi tu!
Manake kwa mapenzi yako unafanya, ila hukubali kuburuzwa, sio?....
 
Ukitaka mume akupende, fanya mambo haya ambayo uyu anaona mazigo.. nakwambia na yeye from no where atakufulia one day iyo nanihii .... sometime doing things for others make them think of us too. usiwe na shingo ngumu dada, itavunja na wala hutapata dawa.. kufua boxer sio utumwa.. hata kunyosha nguo... ? rudi home basi ukanyoshe zako tuu..

ndio zao hao wakishapata cheti cha ndoa... Kwani hamuwajui???
 
Mhhh hapa lipo tatizo kwa kweli, it seems hiyo ndoa yenu mmeoana bila ya kusomana tabia na nini mnapenda kwa kila mmoja wenu. kimsingi hizo kazi huwa hazifanywi kwa kulazimishana ila ni kwa upendo tuu. mke na mume wanaweza kusaidiana katika kufua, kuogeshana, kulishana, kupika na kadhalika ila ni kwa mapenzi. Kumbuka unganiko lenu msingi wake mkubwa ni mapenzi na kama unampenda mtu si ajabu kabisa kufanya hayo yote ila ukione inakushinda basi jiulize kuwa mnaunganishwa na nini katika hiyo ndoa yenu. kama kufua nguo za ndani ni shida siku akiiugua na kuhitaji msaada wako wa kumnawisha kila aendapo haja kubwa na ndogo si utahama nyumba...

Ushauri wangu ni kuwa mume asikulazimishe kufanya hayo bali unapaswa ufanye kwa upendo na utashi wako coz ni vitu unavyomsaidia mumeo, siku zote mume akipendeza husifiwa mwanamke au mke wake na kwa mke ni hivyo hivyo...
 
........Aisee umfanyie kazi hizo zote kwani wewe mama wa nyumbani!

Kama ni mfanyakazi hapana, nasema hapana. Ufanye kazi, urudi nyumbani unakumbana na kazi
nyingine hazina kichwa wala mguu!!!Mwambie afanye vitu vyake mwenyewe.Kama unamfanyiia isiwe lazima.
Labda siku ambazo upo off siku moja moja unafanya.
 
you are not serious my dear, do you think marriage is only ceremony, it's more than that, it's ur duty to make sure that your husband looks smart always. Wanaume wengine humsadia mkewe kazi ndogo ndogo lakini ujue kuwa anakusaidia, kufua underwear we unaona shida gani sasa jamani, do you really love him!!

Hivi hukufundishwa kwenye kitchen party? au siku hizi ndio mnakusanya vyombo tu halafu basi!! hata wale wazee wenye busara huwa wanafundisha mambo hayo kabla hata ya kitchen party, hayo ndiyo mafundisho ya ndani, sasa mwenzetu hukufundishwa wewe au uliyaacha huko huko? acha kututia aibu hapa ndoa yenyewe ndio kwanza asubuhi, mambo mengine si ya kuleta hapa ungepaswa hata kumuuliza msimamizi wako akakusaidia au ndio ulisimimamiwa na rafiki yako ambaye na yeye hajui chochote!

Huo ni wajibu wako na si utumwa kama unavyofikiri, nitafute nikufunde upyaaaaaaaa
 
Nadhani mnatakiwa kukaa chini mueleweshane, kama na wewe unafanya kazi naamini unarudi nyumbani ukiwa umecho so vitu akam kupiga pasi an kubrash vaitu unaweza ukawa unamsaidia 1-1 ila suala la underwear nakuomba ufue kwani lanagharibu nini hata kama unaona kinya nadhani hata mkitaka kuegedana huwa mnaandaana kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yenu, huo ndiyo ushauri wangu.


I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishi
ng his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel
 
Umekubali kuolewa kubali yote....yani hizo tasks ndogo ndogo hivyo ndo unaona tabu...mi nilifikiri anakwambia ufyatue matofali!!

Hili nalo ni la kuleta hapa..eboo
Chocs i miss u switie hou is my brother Erickb52 mwambie eri ya mwaka mpya
 
Last edited by a moderator:
Sijui pengine mimi nina matatizo. Hivi upendo wako kwa mwenzi wako unapimwaje? Mwe! Wengine yaani kufanya hicho kinachokushinda wewe ni kama kuingia peponi. Yaani unajisikia tu raha kumhudumia mtu unayejua unampenda kwa dhati. Ukianza kuweka maligi ya kwani yeye hawezi basi hata mahaba itakuwa kazi maana utaanza ah nimnyweshe juice kwani ye hana mikono? Nimnunulie shati, pants au perfurme ya kazi gani ye si ndo provider... mwisho ah nimseduce wa nini wakati ye ndo anatakiwa kuni'anza' .... walah akipata wa kumtekenya utarudi hapa ukililia msaada kuwa mumeo kabadilika. (Mwe nimeandika kilugha hapa wakati mtoa mada ametema sasa sijui ni mswahili au mdhungu - Zinduna jiandae kutafsiri hapa)
 
Ww mwanamke boooya kabisa..! ivi ulimpenda mmeo au unaishi nae ili upate nn...? ww mchagaaa nn? maana izo tabisa za kujifanya kidume kwa mmeo ni za mabinti wa kichagga..! Ila kumbuka mwanamke hawezi mchezea mwanamume coz ww una-depreciate haraka kuliko mwanaume kwa ukijifanya kuleta nyodo atakuacha na atachukua mwingine, lkn ww utabaki used ivoivo! unafikiri nani atakupenda kwa nia ya kukuoa kama ndo umeachika kwa tabia mbaya km iyo...! Mnalazimisha culture za wazungu wakati nyinyi ni waafrica mtaweza wapi...!! Ujinga tu, mwanamke mwenye hekima huamka asubuhi na kumwandalia mumewe kila anachopaswa amufanyie, na sio kuleta uccta du apa..!!
 
ukipenda kufanya hayo ni furaha ila ikiwa ni lazima mtu anakuita hadi hardheaded its gonna be a hell.busara inapswa kutumika hapa
 
Wanawake wenye akili wanakuwa proud kuwafanyia waume zao hizo kazi...

Haswaaa mwanamke anaejifaham hata nguo ya kawaida isiguswee kabisaa na hg na mtu wa kuja kuja tu,mwanaume ni mtoto ndio maana hata kumuogeshaa na kumpaka mafuta pia kumvishaa ruksaa
 
Haswaaa mwanamke anaejifaham hata nguo ya kawaida isiguswee kabisaa na hg na mtu wa kuja kuja tu,mwanaume ni mtoto ndio maana hata kumuogeshaa na kumpaka mafuta pia kumvishaa ruksaa

Aisee kuogeshwa sijawahi. .. Jawilat dia. .. njoo ujifunze mahabat hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom