Brightson7
Member
- Feb 17, 2023
- 38
- 30
Hellow guys me mwanachama mpya naombeni ushirikiano wenu me naitwa brightson
Brightson7 uko kwenye kundi la #KATAA ndoa?? Hmm Bado ase
AsanteKaribu
Ndoa?? Hmm bado sana jmnBrightson7 uko kwenye kundi la #KATAA NDOA au?
Karibu ndugu, Bridgestone.Hellow guys me mwanachama mpya naombeni ushirikiano wenu me naitwa brightson
Jamaa hapa watu wanatumia covered names sasa wewe na jina halisi sijui Brightson humu ndani kuna watu wengi tofauti na wengi ni manjagu.Hellow guys me mwanachama mpya naombeni ushirikiano wenu me naitwa brightson
Popote alipo afanye kama anajikuna tumwone🏃Karibu JF hapa kuna kila aina ya watu,tunae mpaka Kaka yake shetani