hellow

ha ha ha
mkuu nipo aiseeee majukumu tu ndio yanabana si unajua tena.

Nakuona bado na wewe upo jamvini tu aisee
Au ulikuwa Bariadi katika shughuli ya kuzima Mwenge? wewe hukurudisha posho? hahahahahahahh
 
hapana mkuu, nina mwanamke mmoja mtata sana aisee.

Siku akiamka vibaya huwa ananifungia ndani na kuninyang'anya pasiwedi zote, nashindwa kuingia hata mtandaoni.
 
Mpe nywila (passoword) zote hadi za bank hahahhahaah
 
Huyu wa kiume wadau msiadaike naye ,kwanza mara ya kwanza aliandika yeye ni male kabla hajaweka avatar

Baadaye alivyoona watu wamemuhisi yeye ni ke akabadili profile yake na kuandika female
 
so itanisaidia nn mm nimekuja hapa kujitambulisha as member sijaja kutafuta frnds wala kuja kujieka km mal o femal so ndo mfano nikidanganya itanisaidia nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom