X xcom New Member Jun 19, 2012 1 0 Jun 21, 2012 #1 Ninafuraha kuwa mwanaJF na naahidi kuwa msema kweli siku zote. Chuki na majungu kwangu no mwiko. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Ninafuraha kuwa mwanaJF na naahidi kuwa msema kweli siku zote. Chuki na majungu kwangu no mwiko. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,450 25,591 Jun 21, 2012 #3 Aiseee.. karibu sana mkuu jf.
stineriga JF-Expert Member Jun 20, 2012 2,172 886 Jun 22, 2012 #7 hahah, naona umekula kiapo, unakaribishwa saana, enjoy jf.