Leo nilikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe ya kutimiza miaka 18 ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini tanzania ambayo mkurugenzi mkuu wake ni hellen kijo bisimba, sherehe hizo zilifanyika makao makuu ya kituo hicho lugakingira house kijitonyama. Bila shaka na bila utata sote tunafahamu kuwa kituo hichi si cha kidini na ni public institution, kwa bahati mbaya leo katika sherehe hizo kulikuwa na sura ya kidini ya kikristo, hili lilijidhihirisha pale ambapo (1 )kila mara waimba kwaya walikuwa wakipanda jukwaani na kuimba kwaya, (2) sherehe hizo ziliambatana na uzinduzi wa cd ya kwaya ya kituo hicho (3) board nzima ya kituo hicho tangu ilipoanzishwa pamoja na viongozi wake hapajawahi kuwa na muislam..mama hellen hiyo ni sura ya udini ulio wazi..nakuheshimu sana mkurugenzi..lakini kwa hili you are totally wrong, unaonyesha wazi kuwa upo na umeegemea upande fulani..lifanyie kazi mama yangu.
Haki za binaadam ziko kwenye qur an na hadithi za mtume (s w) hukokwingine ni ushetani mtupu .
Leo nilikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe ya kutimiza miaka 18 ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini tanzania ambayo mkurugenzi mkuu wake ni hellen kijo bisimba, sherehe hizo zilifanyika makao makuu ya kituo hicho lugakingira house kijitonyama. Bila shaka na bila utata sote tunafahamu kuwa kituo hichi si cha kidini na ni public institution, kwa bahati mbaya leo katika sherehe hizo kulikuwa na sura ya kidini ya kikristo, hili lilijidhihirisha pale ambapo (1 )kila mara waimba kwaya walikuwa wakipanda jukwaani na kuimba kwaya, (2) sherehe hizo ziliambatana na uzinduzi wa cd ya kwaya ya kituo hicho (3) board nzima ya kituo hicho tangu ilipoanzishwa pamoja na viongozi wake hapajawahi kuwa na muislam..mama hellen hiyo ni sura ya udini ulio wazi..nakuheshimu sana mkurugenzi..lakini kwa hili you are totally wrong, unaonyesha wazi kuwa upo na umeegemea upande fulani..lifanyie kazi mama yangu.
Nilijua kuwa utajibu hivyo kwa sababu upeo wako bado mdogo, siku zote hampendi kuitwa wadini na kugeuza kibao kwa yule anayewapasulia ukweli, zungumzia hilo la kwaya limekaaje? Ni sawasawa katika uzinduzi wa rasimu ya katiba ukapige kwaya na uzindue cd ya bahati bukuku...kuhusu uongozi leo ni miaka 18 no even one muslim...tumia akili kaka yangu usipanik.
Leo nilikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe ya kutimiza miaka 18 ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini tanzania ambayo mkurugenzi mkuu wake ni hellen kijo bisimba, sherehe hizo zilifanyika makao makuu ya kituo hicho lugakingira house kijitonyama. Bila shaka na bila utata sote tunafahamu kuwa kituo hichi si cha kidini na ni public institution, kwa bahati mbaya leo katika sherehe hizo kulikuwa na sura ya kidini ya kikristo, hili lilijidhihirisha pale ambapo (1 )kila mara waimba kwaya walikuwa wakipanda jukwaani na kuimba kwaya, (2) sherehe hizo ziliambatana na uzinduzi wa cd ya kwaya ya kituo hicho (3) board nzima ya kituo hicho tangu ilipoanzishwa pamoja na viongozi wake hapajawahi kuwa na muislam..mama hellen hiyo ni sura ya udini ulio wazi..nakuheshimu sana mkurugenzi..lakini kwa hili you are totally wrong, unaonyesha wazi kuwa upo na umeegemea upande fulani..lifanyie kazi mama yangu.
kwa sababu uislamu na haki za binadamu ni moto na maji...umefurahi sasa!
Thread kama hizi naziogopa! Sijawahi kufikiria kuwa taasisi au mtu fulani katika Tz hii ananinyima/kumnyima haki kwa sababu ya dini yangu! Labda nina matatizo ya akili, but I'm very happy and confident
kungek ua na kina dada 3 tuu wanaovaa ushungi bila kujali kama ni waislam ktk taasisi hiyo ungesikia LHRC kuna udini.nimesoma hii thread, cjaona kosa zaidi ya tuhuma tu na mtizamo wa mtoa mada. Kijo c mwandaaji wa sherehe.. Kuwa mpole.
Leo nilikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe ya kutimiza miaka 18 ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini tanzania ambayo mkurugenzi mkuu wake ni hellen kijo bisimba, sherehe hizo zilifanyika makao makuu ya kituo hicho lugakingira house kijitonyama. Bila shaka na bila utata sote tunafahamu kuwa kituo hichi si cha kidini na ni public institution, kwa bahati mbaya leo katika sherehe hizo kulikuwa na sura ya kidini ya kikristo, hili lilijidhihirisha pale ambapo (1 )kila mara waimba kwaya walikuwa wakipanda jukwaani na kuimba kwaya, (2) sherehe hizo ziliambatana na uzinduzi wa cd ya kwaya ya kituo hicho (3) board nzima ya kituo hicho tangu ilipoanzishwa pamoja na viongozi wake hapajawahi kuwa na muislam..mama hellen hiyo ni sura ya udini ulio wazi..nakuheshimu sana mkurugenzi..lakini kwa hili you are totally wrong, unaonyesha wazi kuwa upo na umeegemea upande fulani..lifanyie kazi mama yangu.
Kuhusu uislam na haji za binadamu, labda hujasoma tu lakini haki zote za binadamu zipo direct ndani ya uislam..soma kijana usiogope.
Kwa hiyo wewe kwenye hiyo sherehe ulienda kuangalia kuna WAISLAMU wangapi ambao wapo kwenye kituo,au ulienda kuangalia na kusikiliza kwas kiasi gani Kituo hicho kimeweza kuleta utetezi wa kweli kwenye JAMII,mimi nakushauri anzisha cha kwako na nadhani vipo vingi ambavyo vina majina ya moja kwa moja kuonyesha UDINI,maana tangu jina liaweka utambulisho kwamba ni cha KIISLAMU,nampongeza Kijo kwani pamoja na kwamba yeye ni MKRISTO lakini hajawa mbaguzi katika kutetea wanyonge,acha mawazo ya KIPUMBAVU,kila kitu UDINI,yaani nyie mtafurahi ikiwa tu mtaona maandishi ya KIARABU katika kila kitu,kwaya hata kama haiimbi mambo ya YESU ili mradi imeitwa kwaya kwenu tayari unakuwa mfumo KRISTO,hivi kweli itakuja siku kweli nyie watu mtaelewa maana ya DINI na maana ya UBINADAMU,kile ni kituo cha HAKI za binadamu na UTETEZI,na sio KITUO cha kutafuta WAKRISTO wangapi wapo KITUONI kwa hiyo tutafute na WAISLAMU kadhaa wawepo,hiyo sio objective ya kituo,sio kituo cha Kueneza DINI, ikiwa unaona kuna UDINI achana nao,nenda kunako kufaa,au anzisha cha kwakothen upendelee wa DINI yako halafu uone kama utapigiwa KELELE,