Helikopta ya Kikwete yagonga mti

ha ha ha, ulinzi hafifu huo, sheikh tuma majini mengine yaliyosomea Urusi na Marekani kuongeza nguvu.
 
a20.jpg
 
Hili swala jamani tuliangalie kwa jicho la kidadisi sana, usije ukashangaa kwamba hii imefanyika makusudi ili kutuzoeza kwamba helkopta huwa zinapatapata ajali, then wakaifanyia helkopta ya mgombea wangu wa urais, ili wao wapite kirahisi zaidi maana wabongo kwa fitina hawajambo any way mungu tusaidie tumalize hii fitina ya kuiba wake za watu kwanza.
 
Mtakatwa hela za kodi kununua Helcopiter za watu hadi mkome.

Nyie chekeni tu na kufurahi. Mwenye nayo atadai mpyaaaa.....
 
Hili swala jamani tuliangalie kwa jicho la kidadisi sana, usije ukashangaa kwamba hii imefanyika makusudi ili kutuzoeza kwamba helkopta huwa zinapatapata ajali, then wakaifanyia helkopta ya mgombea wangu wa urais, ili wao wapite kirahisi zaidi maana wabongo kwa fitina hawajambo any way mungu tusaidie tumalize hii fitina ya kuiba wake za watu kwanza.

Hivi Kikwete ana wake wangapi?
 
Kikwete naye ana Mungu wake hakuna baya litakalomfika. Tutakereka sana lakini tutafika. Hakuna cha nuksi wala balaa
 
Nakubaliana na Ezan hili tuliangalie kwa jicho la tatu. vijana wa usalama wa Taifa wamesambazwa kufanya linalo wezekana ili ccm ishinde. sasa wasije kuwa wanatutenga ili tuzoee kwamba hizi helicopter zinapata ajari mara kwa mara then wakamkorimba Dr. kweli haya matukio ya kuyangalie kwa jicho la tatu
 
Back
Top Bottom