Hela za matibabu ya Sajuki zaibiwa

Kusema kweli hapa hakuna kulaumu mpesa wala tigopesa kwasababu mpaka mtu akuibie lazima afahamu namba yako ya siri(PIN).Nadhani wa kulaumiwa ni huyo mwenye dhamana ya hiyo namba ya simu.Tusipende sana kulaumu mitandao kwa vitu ambavyo ni uzemebe wetu.Kwa kumsaidia aende kwenye mtandao husika aombe transfer details!
 
Aliyehamisha alipataje password? Hata hivyo mbona ni rahisi kujua aliyeziiba hizo pesa!! ayeye awapigie simu watamwambia zimechukuliwa wapi na ni agent gani alizitoa. Atazipata tu akiwa makini. Si rahisi kuiba hela kupitia mitandao ya simu kama unavyodhani. Hata zikichukuliwa zitajulikana ni nani kachukua na kazichukulia wapi. Huyo agent atachukuliwa hatua.
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo
 
usiseme acount za benk, nako tunaibiwa kupitia ATM. Juzi baada ya kupata sms ya kuingia mshahara wangu kwenye account. Nilienda kuchukua hela, lakini baada ya ku,komand ATM initolee kiasi nachotaka, ATM haikujoa na nilipo chek salio nikakuta hela pungufu. Niliueleza uongozi wa benk, tukatoa benk statement ndipo tukabaini kua hela sh laki 3 zilitoka jana yake. Benk hajazirejesha hadi leo. Japokua wamekiri kua huo ni wizi ulitokea.
Bank gani hio? Ikiwa ulicommand kutoa kiasi fulani na hukukipata ila hela imepungua kiasi kilekile it means hio ni ATM misbehaviour na ulitakiwa uclaim wakurudishie hela yako.
.huo sio wizi km labda kuna mtu kachukua kadi yako na kukuibia.
Laki 3 si kdg mkuu, u better claim
 
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

Jipange dada/kaka.
Bwn Mbumbumbu mi nakusalimia tu..
No comment at all!!!!!!!! Lol, Mbumbumbu..
 
Kuishtaki itakuwa ngumu kwasbb hakuna mkataba wowote unahusu transaction za hela kati ya mtumiaji wa simu na kampuni kama ilivyo wakati wa kufungua bank account!

Hivi unaposajili line hakuna fomu yoyote unayojaza? Au unadhani mkataba ni ni ule tu mnaosaini na kuapa mahakamani ama kwa wakili? Unapokubali kusajili line, unasajili na huduma nyingine ambazo zinatolewa na kampuni husika (internet, pesa, SIM banking system n.k). Pia, kwenye kila transaction ya pesa katika line husika, kunakuwa na reference number ili kutambulisha huduma uliyopewa kwamba ni halali. Ukiamua kufungua madai dhidi ya wizi katika line yako unafungua tu
 
ninavojua mimi mama sajuki anatumia m.pesa kukusanya mchango wa msaada wa matibabu ya mumewe, na vodacom wanataarifa zote kuhusu ni nani kahamishiwa kias gani lini na alitumia mnara gani, taarifa wanazo vingnevyo wawajibishwe kwa ufisadi wa msaada wa pesa za matbabu. Wasitake kuleta uzembe usio na maana hapa. Ni kuwapigia na kuomba taarifa za mumala uliofanyika,wao ndio watatoa ufafanuzi kamili. Huu ni zaidi ya upuuzi wasiachwe watazoea.
 
dah!! ee mungu bongo imejaa ukungu sana tunakuomba utusafishie nchi yetu.amin.....
 
Naahidi kuanzia leo nitakuwa na2mia nmb mobile 2. Kama ni tigo pesa basi si zaidi ya 50 elfu na si vinginevyo. Halafu kingine watu cku hz ni wataalamu wa IT kwa hyo ni rahisi sana kucheza na network savers na kujua password za watu wengne. Mungu uwatie nguv na ujasiri familia ya Sajuki kwa kipindi hk kigumu kwao.
 
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo

Hii ndoa imekubwa na misuko suko sana natumaini Mungu atawahurumia wavuke salama milima na mabonde
 
Back
Top Bottom