Hela za matibabu ya Sajuki zaibiwa

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4.

Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo.

My take
Hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo
 
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account yake ya pesa kwenye simu Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!

Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

Jipange dada/kaka.
 
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

Jipange dada/kaka.

We hy habar mbona ijitosheleza na inaeleweka,au ww ulitaka maelezo yepi tena.hela zimeibiwa au ulitaka amtaje mwiz ili habar ikamilike?
 
Jamani mbona hiki ni kichekesho! Ina maana hii mitandao hawana record za electronic money transfer? Mbona tukituma hela kwa M-Pesa tunapewa jina la mpokeaji na reference number. Kama hizi data hazipatikani, it means THIS IS AN INSIDE JOB! Namaanisha wafanyakazi wa mtandao husika.
 
Hili mbona ni rahisi sana kujua hela zimeenda wapi? waende tigo pesa au kama ni M-pesa waende huko na kuomba kupata trasfer record.
 
Wizi wa namna hiyo Umeshamiri sana siku hizi,Wanachofanya wakifahamu Account yako ina kiasi kikubwa,Wanaifanyia Rweplacement. baada ya wewe (Mwenye line) kuwapatia Detail zako ikiwemo No.za siri.ya M-Pesa na Tigo Pesa.
 
majaribu ni mtaji!iko siku wanandoa hawa watashinda majaribu maana ni mengi mno!
 
Hili mbona ni rahisi sana kujua hela zimeenda wapi? waende tigo pesa au kama ni M-pesa waende huko na kuomba kupata trasfer record.

tatizo siku hizi,number zinasajiliwa jina moja tu au vifupisho..
 
Maybe hakuna sababu ya kutumia m-pesa and the like. CRDB mobile banking inahusika na airtel money na mpesa, better wachangiaji waweke kwenye account. I never use hizo service za simu!
 
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo

Tafadhali kuwa Mtanzania mwenye heshima na uzalendo kwa kujifunza kuandika Kiswahili, rekebisha hayo kwenye nyekundu.

Unaondoa utamu wote wa lugha yetu nzuri kwa kuandika hovyo.
 
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

Jipange dada/kaka.

jina la ID yako linatosha kujua una uwezo gani wa kudadavua mambo
 
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

Jipange dada/kaka.

haya majina yanaendana na mtu alivyo. Usipende kujipa mikosi kwa kujipa majina ya hovyo. Soma vizuri alafu niulize wapi haujaelewa!
 
Binadamu hawana huruma siku hizi.Hiyo ya kuiba mbona ndogo watu wanataka kupitisha sheria ya ku do na maiti
 
Back
Top Bottom