Hela kwa atakaye nisaidia kuRoot Huawei Y3ii

Elvicepride

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
243
65
Kama kichwa cha Habari kinavyosema nitatoa hela kwa atakaye nisaidia mbinu ya kuRoot Huawei y3ii yangu maana nimejaribu kila mbinu na kila app za Android pamoja na za Computer ninazojua nimeshindwa,
Atakuja kutoa ushuhuda kwa nitakayempa hela kwa kunisaidia
"Huawei Y3ii LUA-L21"
 
Yangu iligoma at the end ilikubal but ilinchukua wiki nzima na saiv sinayo
Fundi aliruti kwa box tatu tofaut sjui volcano etc yaan ukiroot na hzo box tatu zina kupa urahs ukirudia mara nying kido ilikuja kubali yenyew na ilipo restore upya nkaiuza wk ilofuata ckutaka tena usumbufu
 
Nilishajaribu Mara nyingi nilikuwa inaandika failed
Nishawai jaribu kutumia kuroot Samsung s3 japo ilinitesa maana ilikuwa inafika 60% afu ina niletea hyo msg ya failed! Failed! But siku ya siku ikakubali...
 
Kama kichwa cha Habari kinavyosema nitatoa hela kwa atakaye nisaidia mbinu ya kuRoot Huawei y3ii yangu maana nimejaribu kila mbinu na kila app za Android pamoja na za Computer ninazojua nimeshindwa,
Atakuja kutoa ushuhuda kwa nitakayempa hela kwa kunisaidia
"Huawei Y3ii LUA-L21"
mkuu tumia software inaitwa iroot ingia google isearch ukiipata idownload ukishainstall connect cmu yako enable debug mode kwenye app developer then istart hiyo app itadownload drive za cmu yako then utaconfirm itaanza plocess ya kuroot. kuna app itainstall kwenye cmu inaitwa iroot inaamdishi ya kichina itauuliza kugrant permision iwekee okay. apo cmu yako utakuwa umeiroot mkuu. km utahitaji kuunroot utaconect cable tena itauuliza km unataka kuunroot kwenye pc then utaconfirm unroot mkuu. ukimaliza tujulishe km utapata tatizo tujulishe tena apa tukusaidie mkuu
 
Imegoma inahesabu kidogo baadaye sim inajiRestart
 
Back
Top Bottom