Heko za Sikukuu πŸŽ„ kwa Wadada na Wamama....

Habari za mchana wadau...


Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele .

Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Kwa upande wangu, huwa napenda kupika pilau la viungo vizima vizima. Shurti pilau isindikizwe na kachumberi, shurbati na rosti la lililotupiwa mbogamboga na ndizi mzuzu zilizokatwakatwa mithili ya kiepe taaaaamuuuuuu

Salamu za pekee ziwaendee wadada na wamama walioingia jikoni kupika chochote kwa ajili ya Sikukuu.

Karibuni mle kwa picha .

View attachment 2057136

Pilau

View attachment 2057135

Rosti + mambogamboga.

Skukuu njema .
Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.
 
Fcuk you....!!!!!

Are you you...!????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Aahahahahhaaa ......

Choda ya baba ya mama...!??πŸ˜‹πŸ˜‹
Acha fujo kasie kwanza unakesi kubwa sana! Taka choda ya mama..πŸ˜‚
 
Acha fujo kasie kwanza unakesi kubwa sana! Taka choda ya mama..πŸ˜‚

Faaaaaaaaak yuuuuuuuuuu

Hiyo kesi ishushe hapa nnavopenda keesiiiii.....πŸ™πŸ™πŸŽ„πŸ˜‡
 
IMG_7312.jpg
Nimemaliza
 
Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.

Duh polee.

Sasa watoto wamekula nini?
Halahala usimpige tuu, mpe nyama laini na tamu ya ulimi akuelewe kwanini hukumpa hella ya saluni ukampa hela ya kununua chakula.

Krismasi njema.
 
Back
Top Bottom