Heka heka za ajali ya ubungo katika picha

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
palikuwa hapatoshi na inasikitisha sana kwakeli

attachment.php
 
Attachments

  • kas.jpg
    kas.jpg
    52.3 KB · Views: 744
Embu tuelezee kdogo kilichotokea huu mtihani wa kutafsiri picha kila m2 ana lake,
 
oh, so sad! Tel us what happened wengine tuko mbali mzee... Mmiminiko wa ajali bongo hii itakuwa laana tu si kawaida, eeh Mungu tuepushe
 
Haini ingii akilini kirahisi,hapo ilipo tokea ajali ni jirani sana na ubungo mataa,sasa hilo lori liliwezaje kuwa speed wakati limetoka kwenye mataa?,hapo kuna kitu,ninahisi kama huyo dereva hakuwa mkini thats why alishindwa kulikontroo gari na kuhama njia...
 
Madereva wengi sasa wamekosa umakini na uwezo wa kuendesha au kuviongoza vyombo vya moto, kwa upande mwingine tunadai miundombinu ya barabara haijitoshelezi, magari yanayotumiaka ni mabovu lakini kwa asilimia kubwa Madereva wanachangia ajali hizi kwa sababu ya mwendo kasi na kutokuzingatia alama za barabarani.
 
Duh mungu azilaze roho za marehemu mahali pema.....alaf pumbav govt ya tz...wanasema wamekufa pipo mbili...
 
E bana eh hii picha bado aieleweki, kwani kuna alokufa?? Bado ni kitendawili kutegua kinachoonekana apo ktk picha, au ni kitendawili tega nikutegue?? MESEJI HAS NEVER BEEN DELIVERED LABDA KWA WALOKUWEPO KTK TUKIO. LOG OFF
 
Haini ingii akilini kirahisi,hapo ilipo tokea ajali ni jirani sana na ubungo mataa,sasa hilo lori liliwezaje kuwa speed wakati limetoka kwenye mataa?,hapo kuna kitu,ninahisi kama huyo dereva hakuwa mkini thats why alishindwa kulikontroo gari na kuhama njia...

umemaliza? hakuna sababu nyingine>

FYI

Daladala iliyokuwa mbele ya lori ilisimama ghafla kuchukua kichwa...Lori likajaribu kukwepa daladala matokeo yako ndiyo hayo........daladala haikusimama!
 
bangi sometimes

Madereva wengi sasa wamekosa umakini na uwezo wa kuendesha au kuviongoza vyombo vya moto, kwa upande mwingine tunadai miundombinu ya barabara haijitoshelezi, magari yanayotumiaka ni mabovu lakini kwa asilimia kubwa Madereva wanachangia ajali hizi kwa sababu ya mwendo kasi na kutokuzingatia alama za barabarani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom