white wizard JF-Expert Member May 18, 2011 8,315 13,281 May 19, 2011 #1 Jamani kumbe tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza tv! kinamilikiwa na wachina!
lifeofmshaba JF-Expert Member Feb 19, 2011 867 219 May 19, 2011 #2 hacha udaku wewe data kiwanda gani?
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,351 May 19, 2011 #3 white wizard said: Jamani kumbe tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza tv! kinamilikiwa na wachina! Click to expand... kwa hiyo !!!!????
white wizard said: Jamani kumbe tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza tv! kinamilikiwa na wachina! Click to expand... kwa hiyo !!!!????
Micado Member Feb 18, 2009 9 1 May 19, 2011 #4 Una uhakika na unayosema ama ni namna tu ya kuanzisha mada ya uongo...??