hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 157
Ndg Data, kweli jamaa hapendi mambo yende hovyohovyo. Hapa mimi naona pande zote mbili zinatakiwa kushare blame. Yaani mwanamke ana nafasi yake ktk kuleta shida alizotaja mtoa mada, hali kadhalika mwanaume.Kwa vile neno hovyo limetokea sana..namsubiri hovyohovyo aje tia neno nami ntaendelea