Hebu vuta picha tafakari taswira na utoe jibu..!!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Ivi ingekuwaje kama siku mods wakatoa ombi la ushauri kwa member kuhusu jukwaa gani lifutwe na ungependa jukwaa la namna gani lianzishwe? Je wewe ungejibuje,mie ningeomba lianzishwe jukwaa la....Lifutwe la....
 
Ivi ingekuwaje kama siku mods wakatoa ombi la ushauri kwa member kuhusu jukwaa gani lifutwe na ungependa jukwaa la namna gani lianzishwe? Je wewe ungejibuje,mie ningeomba lianzishwe jukwaa la vichaa na lifutwe la jokes.
Habari za Mirembe???..
anyway...upo likzo au??
 
Ningeshauri Devine Apigwe Ban ya maisha, sababu hana status ya great thinker.
 
Ningeshauri Devine Apigwe Ban ya maisha, sababu hana status ya great thinker.
ingependeza unishtaki...Ila kumbuka am just joking,kwenye serious issues cwez andika pumba hata 1 day lol
 
Back
Top Bottom