Walaaah naskia hurufu ya dam.
Kila mtu atakufa kwa siku yake. Hakuna atakaeishi milele.
Kifo ni zawadi ya wote. Kama kuna kitu haki basi haki inapatikana kwa wote. Hakuna anaebaguliwa katika hili, ni aina tu ya kifo kinavyotujia ndio tofauti.
Walaaah naskia hurufu ya dam.