Headache au maumivu ya kichwa

Kuumwa kichwa kila siku,mtu akiinama anaenda moja kwa moja,na kuna wakati haoni mbali na kupata kizunguzungu,na kichwani kuchoma choma kwa ndani.Akilala kitandani anaona kama anazunguka.
jaribu kupima pressure! angalia sana si dalili nzuri! kama hata huoni mbali lazima uende haraka kwa dr. pia yaweza kuwa kipanda uso. nenda kama unanguvu sasa hivi uombe pimwa malaria kama una homa, BP, nk.
 
Asante kwa ushauri wako,nimepima malaria, BP na homa sina.Dr.ameniandikia Flamar x,nitumie kwa siku tano.Kuna rafiki yangu kaniambia ni dalili ya kipanda uso.Lakini kichwa kinagonga kweli.
 
Asante sana Mzizimkavu,kwa ushauri wako,nimepima malaria,BP na homa sina.Dr.kanipa Flamar x kwa siku tano.Dawa yako nitafuatilia kwa makini sana.
 
Asante kwa ushauri wako,nimepima malaria, BP na homa sina.Dr.ameniandikia Flamar x,nitumie kwa siku tano.Kuna rafiki yangu kaniambia ni dalili ya kipanda uso.Lakini kichwa kinagonga kweli.
ukiona kinaendelea fanya kipimo cha CT, yaweza kuwa cancer ya ubongo!!
 
nina shida hiyo juzi nimefanya full check up nikaambiwa damu imezidi mwilini inabidi nikatoe walau units 2. So inawezekana fanya hivyo pia.
 
nadhani wewe una kipanda uso (migrane) na dawa yake halisi ni kuondoa chanzo cha hicho kipanda uso, na kama mdau wa kwanza alivyoeleza sababu inaweza kuwa: mawazo, kutokulala vizuri usiku, etc... pia jaribu kunywa maji ya kutosha kama lia 2 kwa siku na kupumzika vya kutosha... pole sana
NB pia kama damu yako haijapungua then haina shida...
hili tatizo kama ni la muda mrefu nashauri pia ukapime macho pamoja na kufanya CT scan ili kujua tatizo haswa ni nini..
 
  • Thanks
Reactions: rom
Kuumwa kichwa kila siku,mtu akiinama anaenda moja kwa moja,na kuna wakati haoni mbali na kupata kizunguzungu,na kichwani kuchoma choma kwa ndani.Akilala kitandani anaona kama anazunguka.
POLE SANA NDG. TATIZO KAMA HILO LILIMSUMBUA SANA NDG YANGU KWA ZAIDI YA MIAKA 10, ALIKUWA ANAZIMIA NA KUDONDOKA HADI AKAACHA KAZI ILA MWAKA JANA ALIPATA TIBA KUTOKA KAMPUNI IITWAYO TIENS/TIANSHI KW KUNUNUA KIFAA KIMOJA KINAITWA HYPERTENSION APPARATUS(COMB), NA BAADHI YA VIRUTUBISHO HADI SASA BADALA YA PANADOL 8 MPAKA 13 KWA SIKU KWA SASA ANATUMIA PANADOL 2 KWA SIKU MOJAMOJA KWA HOFU. ILA MPAKA SASA AMESHAPONA NA KAZI AMEANZA. KAMA UNGEPENDA KUWASILIANA NA WATAALAM HAWA TEMBELEA www.tiens.com, www.aftiens.com au sema ulipo ili nikuelekeze ofisi iliyokaribu na wewe. wasiliana nami kwa 0755569494
 
Jaman naombeni msaada naumwa sn na kichwa ni mda sasa. Nkitoka nkirudi kichwa chauma, nkifanya kazi au hata nkiwatch Tv. Yani cna raha
 
kuna aina nyingi za maumivu ya kichwa. Hivyo inabidi utoe maelezo ya kujitosheleza ya jinsi kichwa kinavyouma.
umri , kazi na mazingira ya kazi, stress, matumizi ya dye kwenye nywele, constipation, infections e.g malaria etc zinaweza kusababisha kichwa kuuma. Tafadhali muone daktari.
 
Onana na daktari haraka iwezekanavyo na upate vipimo inawezekana una tatizo kubwa ndio maana unaumwa mara kwa mara
 
Onana na Dr yawezakan moja kati ya haya au jengine

-Upuungufu wa macho labda unataka glasses
-Migrane kama ni one side
-Gas pia inasabisha, angalia chakula chako. Once I thought nina cance ya kichwa kumbe gas ilikuwa inanisumbua:A S-cry:
 
Kinagönga sn, yani nkitoka ili nienjoy matembezi mpk ninywe painkiller. Inabidi nifanye hvy coz nlikuwa nadharau bt naona vinazidi.. Ahsanten ndugu zng
 
kuna aina nyingi za maumivu ya kichwa. Hivyo inabidi utoe maelezo ya kujitosheleza ya jinsi kichwa kinavyouma.
umri , kazi na mazingira ya kazi, stress, matumizi ya dye kwenye nywele, constipation, infections e.g malaria etc zinaweza kusababisha kichwa kuuma. Tafadhali muone daktari.

malaria nimepima mara nyng.. Nina 23. Ahsante ntafanya hvy
 
Back
Top Bottom