Banking is one of the most lucrative and best paid jobs available today. There are various departments in the bank for which you could apply for a job.
Duh yaani utapeli wa waziwazi. Amejoin kwa ajili ya hilo tu. Akatumbukiza king'eng'e. Mwambie aje na kiswahili kwanza. Oh nilivyosoma ni Devere-Group baada ya kuclick nikaikumbuka habari hii. Hawa watu wanacheza saana na net lengo ni kuiba information za watu though kuna group linafanyakazi kwa jina hilo. Wanajifanya wanakazi kwenye mahoteli,benki na mortgage industry. Wala msijisumbue wengi wameingizwa mjini hasa ukikuta kazi inataka ulipe pesa au utoe kadi info zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.