Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

Hiyo sio guessing ya karibu na ukweli,

Tudhanivyo ni kwamba, Alisikika na kwa mshangao wenye sauti ya ukali Sana akihoji kwa ile kweli Sana kuhusu u- superiority wa mtoto mdogo kwa support ya Wamuscat kwenye ulazimishaji wa Muungano Kwa hoja nzito zilizosikizwa Mabarazani Kwa Wabara na hata kutokea vijiweni kwa mafundi viatu.
 
Yule mwehu alikuwa anawazuga tu watu kama ninyi lakini lengo lake lilikuwa ni kutawala milele na ndiyo maana marafiki zake wakubwa walikuwa ni Yoel Mseven na Paul Kagame.Na hata kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 alikodi wanajeshi kutoka Burundi,Rwanda na Uganda kuja kusimamia uchaguzi.
nyie wahuni hamkosi maneno,mara haukuwa uchaguzi mara alikodi wanajeshi kuisimamia uchaguzi walisimama wapi? sisi mbona hatujawaona?kosa vyeti feki, mishahara hewa,kujimilkisha mali za umma,kuongeza ufanisi wa utumishi wa imma,
 
Wakati ndo alikuwa anawatuma akina ndugai na kessy wapush agenda na yeye ajifanyr hataki. Yule angefia madarakani ama jeshi limpindue. Awamu moja tu nchi kaisambaratisha vibaya mno. Ukabila, udini, ukanda, umaskini aliviimarisha haswaa
Alikuwa akimtuma Polepole mara nyingi kukanusha ila watu wakawa wanajipendekeza kwake kwa nguvu
 
Ulikuwa ni usanii tu,ili aonekane kuwa hana nia ya kutaka aongezewe muda,na ANAWACHUKIA wanaotaka aongezewe muda. Kama angekuwa halitaki hilo,angemkemea Spika Ndugai, alivyosema, "ATAKE ASITAKE,ATAONGEZEWA MUDA"
Alimkemea, nyuma ya pazia lakini, na alitaka amtoe kwenye uspika
 
Alikuwa akijifanya mjanja maana alisema hatazidisha hata dakika moja kwa mujibu wa katiba lakini nyuma ya pazia alikuwa na mpango wa kubadili katiba ili aendelee na angesema hajaenda kinyume na katiba.
 
Alikuwa akijifanya mjanja maana alisema hatazidisha hata dakika moja kwa mujibu wa katiba lakini nyuma ya pazia alikuwa na mpango wa kubadili katiba ili aendelee na angesema hajaenda kinyume na katiba.
Wewe ulijuaje huo mpango wa nyuma ya pazia kama sio hisia zako tu?
 
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,

Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita

Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Ndiyo akajiua? Bwege kweli
 
Wewe ulijuwaje kama alikuwa hapendi kuongeza muda au na wewe ni hisia zako tu? Tambua mswahili sio mtu wa kuamini kauli zake.
Mzee wewe ndio unatuhumu, ukituhumu ndio unatakiwa uthibitishe

Magufuli alitamka zaidi ya mara 10 hana mpango wa kuongeza muda, wewe unasema alikuwa na mpango huo, unatunia kigezo gani?
 
Mzee wewe ndio unatuhumu, ukituhumu ndio unatakiwa uthibitishe

Magufuli alitamka zaidi ya mara 10 hana mpango wa kuongeza muda, wewe unasema alikuwa na mpango huo, unatunia kigezo gani?
Alisema atatoa milioni 50 kwa kila kijiji, alitoa?
Alisema atatoa computer kwa kila mwalimu,alitoa?
Magufuli alikuwa si mtu wa kuaminika na alikuwa muongo sana na alikuwa akipenda kuabudiwa nina uhakika asingetoka madarakani bila Mungu kuingilia kati.
 
Magufuli was a power-monger with the worst intentions ever. He systematically orchestrated fears and strange occurrences so that eventually he could say it is the people's will to extend his presidency
That's why we're saying "death to him." We're happy now that we're no longer tied up.
 
Back
Top Bottom