Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.
Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya Wazanzibari ambao nao hiyo Ardhi itakuwa wapemba na waunguja. Shikamoo Baba wa Taifa.
Taifa Hilo litakuwa na jeshi moja JWTZ wakati huko kisiwani kutakuwa na jeshi lao 🇹🇿🙏
Taifa la Tanzania litakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamuhuri na kwa Tanzania anaweza tawala yeyote kati ya mtanganyika au Mzanzibari🤣🇹🇿🤐
Kutakuwa na vitu vya Muungano na vya Tanzania Mchanga wa Tanganyika na Zanzibar utaunganishwa na atakaye taka vunja Muungano apewe mchanga aanze tenganisha⁉️
Tanzania ni nchi isiofungamana na nchi yeyote ila Zanzibar wana dini yao.
Tanzania serikali Haina dini? What?😠🤐