Haya ya madaktari na vifo vya wanyonge

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
[h=6]Kama Haya Anayoongea Jakaya Ni Kweli........... Basi Nadeclare Interest Kuwa Madaktari Wanatuua Bure Sisi Wanyonge. Jamani Watumishi Wa Umma Kama Walimu Hali ndo Mbaya Kabisa Bt Tunaendelea Kuwaandaa Madaktari Watarajiwa....... Ingawa Wanasiasa Ndiyo Chanzo Cha Haya Yote Iweje Wabunge Walipwe Mamilioni Kwa Kubwabwaja Maneno Tu.
MUNGU ATUSAIDIE TUNAKOPELEKWA NA WANASIASA HATUTAFIKA
[/h]maneno ya JK source hotuba yake 30/ june 2012
1.Posho ya kuitwa kazini (on call allowance) iwe asilimia 10 ya mshahara.
2.Posho ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi (Risk allowance) iwe asilimia 30 ya mshahara.
3.Madaktari wapatiwe nyumba grade A au posho ya makazi ambayo iwe asilimia 30 ya mshahara.
4.Posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu iwe asilimia 40 ya mshahara.
5.Madaktari walipwe posho ya usafiri ya asilimia 10 ya mshahara au wakopeshwe magari.
6.Madaktari wanaoanza kazi walipwe mshahara wa shilingi 3,500,00/= kwa mwezi.
7.Madaktari wapatiwe Green Card za Bima ya afya.
8.Hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
9.Viongozi wa Kisiasa kulazimisha kupewa rufaa nje.
10.Madaktari waliofukuzwa warudishwe kazini.
11.Huduma za afya ziboreshwe nchini.
12.Posho ya uchunguzi wa maiti iongezwe
 
una akili kama za JK ndo maana unakuwa na mawazo mepesi kiasi hiki
 
Kama Haya Anayoongea Jakaya Ni Kweli........... Basi Nadeclare Interest Kuwa Madaktari Wanatuua Bure Sisi Wanyonge. Jamani Watumishi Wa Umma Kama Walimu Hali ndo Mbaya Kabisa Bt Tunaendelea Kuwaandaa Madaktari Watarajiwa....... Ingawa Wanasiasa Ndiyo Chanzo Cha Haya Yote Iweje Wabunge Walipwe Mamilioni Kwa Kubwabwaja Maneno Tu.
MUNGU ATUSAIDIE TUNAKOPELEKWA NA WANASIASA HATUTAFIKA

maneno ya JK source hotuba yake 30/ june 2012

Sielewi hapo kwenye red
 
Huo ndo ukweli wenyewe japo madaktari wanaogoma wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa madai yao ni kuboreshewa mazingira ya kazi. Kiukweli wanataka MSHAHARA MKUBWA NA HIZO POSHO.
 
hiyo mbinu inatumiwa sana na wanachuo wanapodai bum,wanaorodhesha msururu wa madai 10-15, kwa kuwapoteza watu maboya dau la mwisho ndo huwa la bum.

cha ajabu wakipata bum tu hakuna anayerudi kulalamikia yale madai mengine 14
 
naomba usipime uelewa wa mtu jenga hoja ya madai ya hawa madaktari na msimamo wa serikali na je huu mgomo una maslahi gani kwa mtu wa hali ya chini. kweli hii serikali inamapungufu yake lakini kwa hili la madaktari wanalao jambo lao hao madk.
 
Wale wanaharakati uchwara walikuwa wanajua kweli madai ya madaktari , au ndo siasa tuu?
 
Jk leo ndo umekuja na id mpya karibu sn,. Ebu leta hizo bil300 mlizoficha majuu
 
Back
Top Bottom