farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 695
Povu la nn !!! Soma uelewe, mleta mada kazungumzia maftokeo ya darasan na nyazifa walizowahi kupata wala sio mafanikio au tabia zao hata wewe unaweza kuleta uzi wako kuhusu tabia zao mbaya na mafanikio afifu walio nayo ambayo yapo na mengi tu. Au ulitaka wao darasan wakiwa wa kwanza basi watakutaja wewe.Wahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.
These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!
Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?
Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.
Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!