professor lipumbaAhaa wahaya ni mikwara tuu mambo yote mnyamwezi na ukitaka kujua hilo waulize wazungu kuhusu akina prof.lipumba,kapuya, kambaya, mauga,
Hahahaa duh haya bana...Sio kwamba hawaendekezi ngono,ila n kaz kuwaoa coz hiyo kauli ya uchapakaz tamaaa hawaishiwi,.....Wanagongwa huku na.kule...kama wabisha jarbu fanya utafiti hata viwanja dar ..km kona bar,ambiance, sokotq nk..nenda mwanza vila park,njoo moro samaki samaki nenda iringa,mbeya carnival..kila wamejaa wao wanaongoza kujiuza...so nw wanatumia **** km fursa....wachaga,wahaya na wanyakyusa na.kabila.flan la singida ndio waongoza kujiuza hapa tz......
Km hiyo haitoshi,angalia masugar mamy weng n.kabila gan..wanaanza wangon.wanafwat wachaga.....dar hapo pamoja na waume zao wanapesa but.huchepuka kwa vjana...na.jamaa zangu wanajilia tuu
So.usiseme hawapend ngono, wanapenda coz fursa kwao..wezi ukizima jiandae kusulubika....na.bahat nao sana pale napo taka kisuzio
Majanga ya asili yakikupiga hata uwe na akili kiasi gani lazima utarudi nyuma tu kimaendeleo. Umesahau MV Bukoba...Mnyauko...kushuka bei zao la kahawa...tetemeko la ardhi...HIV AIDS from Uganda...vita ya Kagera n.k
Hapo Mkoa lazima urudi nyuma kiuchumi. Tuwaombee wahaya ili warudi ktk maisha yao ya kawaida tuendelee kunufaika kama taifa kupitia vichwa vyao...
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu weledi wa kabila la wahaya. Lakini umesahau moja kuwa kabila hili pia linatoa "The most professional sex workers" katika nchi hii na majirani. Hebu tuwekee na majina yao!Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,
International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir
NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,
Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
E. Mark rweyemamu director of GALv
Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,
Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.
TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa
Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
Professor Mark Rweyemamu - GALVmed
Obituary Prof. Kami S.P. Rwegasira, PhD
Valentine Rwegasira | Duncan Lewis | Immigration Solicitor | Dalston
Rwegasira, D. G. [WorldCat Identities]
Manzi Rwegasira | NMB Bank | ZoomInfo.com
Dar feels the pinch of global financial crisis
Matajir.weng sio.wasomi..jarbu fanya.utafit.na.hilo piaLakini mbona Kagera ni mkoa maskini zaidi tanzania licha ya ardhi nzuri sana na wasomi wote hao?
The thread serves no purpose but to propagate sectarian chauvinism and purported superiority that never exists. It is total carelessness, utter stupidity in total disregard of tranquility that exists among Tanzanians.Had this comment been from people like me the moderators would have hidden it like my comments regarding the substandard seats of the National stadium. It is likely all or one of them is a muhaya. These are known to be among the most tribalistic ethnic groups of tz.
Ila chini napo hawako nyumaYeah. Jamaa wako vizuri upstairs... Sema tu UKIMWI uliwamaliza wengi wao. Isingekuwa hivyo wangefika mbali zaidi....
Nakuunga mkonoWahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.
These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!
Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?
Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.
Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!