Haya tena kwa wale wanaotaka mabasi toka german mercedes benz luxury bus

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138
Hya tena kwa wale wanaotaka kununuwa Mabasi ya abiria toka Germany MERCEDES BENZ LUXURY BUS Model 404 inabeba abiria 52 Wanaokaa kwenye Viti ipo kwenye condition nzuri na


kuna choo ndani na ya mwaka 2006 ni nzuri kusafiri mbali ndani ya nchi na nje ya nchi Bei yake ni Euro Elfu 80,000. Pamoja na gharama ya kukusafirishia Kutoka nchini Germany mpaka kufika Bandarini Dares-Salaam Tanzania. Kwa

Mtu Mwenye Kutaka awasiliane na mdogo wangu aliyeko Mjini Frankfurt nchini Germany anayeitwa Mr Dennis Kay Brown

na Pia unaweza kumpigia simu namba yake hii hapa +491736739809 Au pia Waweza kumtumia Email Address yake hii

hapa melviks@hotmail.com Au pia waweza kunitumia mimi Barua Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Haya Changamkieni Mabasi hayo hapo chini kwenye Picha
 

Attachments

  • Mercedes Luxury Bus 1.jpg
    Mercedes Luxury Bus 1.jpg
    34.6 KB · Views: 586
  • Mercedes Luxury Bus 2.jpg
    Mercedes Luxury Bus 2.jpg
    31.5 KB · Views: 501
  • Mercedes Luxury Bus 3.jpg
    Mercedes Luxury Bus 3.jpg
    41 KB · Views: 411
  • Mercedes Luxury Bus 4.jpg
    Mercedes Luxury Bus 4.jpg
    52.4 KB · Views: 385
  • Mercedes Luxury Bus 5.jpg
    Mercedes Luxury Bus 5.jpg
    44.4 KB · Views: 367
  • Mercedes Luxury Bus 10.jpg
    Mercedes Luxury Bus 10.jpg
    33.3 KB · Views: 329
  • Mercedes Luxury Bus 9.jpg
    Mercedes Luxury Bus 9.jpg
    12 KB · Views: 356
  • Mercedes Luxury Bus 8.jpg
    Mercedes Luxury Bus 8.jpg
    39.4 KB · Views: 341
  • Mercedes Luxury Bus 7.jpg
    Mercedes Luxury Bus 7.jpg
    42.5 KB · Views: 347
  • Mercedes Luxury Bus 6.jpg
    Mercedes Luxury Bus 6.jpg
    55.7 KB · Views: 365
  • Mercedes Luxury Bus 11.jpg
    Mercedes Luxury Bus 11.jpg
    30.8 KB · Views: 313
  • Mercedes Luxury Bus 12.jpg
    Mercedes Luxury Bus 12.jpg
    34.6 KB · Views: 327
  • Mercedes Luxury Bus 13.jpg
    Mercedes Luxury Bus 13.jpg
    35.4 KB · Views: 330
Na Picha Zingine hizi hapa za Gari lingine hilo pia Bei yake ni hiyo hiyo Euro Elfu 80.000 angalia picha hapo chini. Kwa Mwenye kutaka hayo Mabasi ...
 

Attachments

  • 0014428338005.jpg
    0014428338005.jpg
    45.4 KB · Views: 197
  • 0014428338004.jpg
    0014428338004.jpg
    73.1 KB · Views: 207
  • 0014428338003.jpg
    0014428338003.jpg
    63.7 KB · Views: 228
  • 0014428338002.jpg
    0014428338002.jpg
    51.6 KB · Views: 268
  • 0014428338001.jpg
    0014428338001.jpg
    58.2 KB · Views: 255
  • 0014428338010.jpg
    0014428338010.jpg
    48.4 KB · Views: 191
  • 0014428338009.jpg
    0014428338009.jpg
    52 KB · Views: 189
  • 0014428338008.jpg
    0014428338008.jpg
    51.6 KB · Views: 192
  • 0014428338007.jpg
    0014428338007.jpg
    49.8 KB · Views: 207
  • 0014428338006.jpg
    0014428338006.jpg
    52 KB · Views: 208
  • 0014428338011.jpg
    0014428338011.jpg
    40.4 KB · Views: 189
  • 0014428338012.jpg
    0014428338012.jpg
    40.9 KB · Views: 198
  • 0014428338014.jpg
    0014428338014.jpg
    39.1 KB · Views: 209
Itakuwa Korea au Japan.
mKUU Young Master ni mekuelewa Lakini haya Mabasi ya Kijerumani ni Mazuri tena yanakwenda Mwenda wa kasi utafikiri Magari madogo kisha mazuri ukipanda ndani yake utafikiri umepandandege ya chini haya tena Wanunuzi kazi kwenu njooni muje kununuwa Luxury bus .
 
Last edited by a moderator:
Ni Mabasi peke yake anatuma Au magari madogo pia am also in German but i want to send from Here kuja huko
Mkuu Winnysammy Wasiliana na Mr Dennis Kay Brown kwa namba yake ya simu hii hapa +491736739809 au pia waweza kumwandikia Barua ya Email Address yake hii hapa melviks@hotmail.com ataweza kukusaidia yupo mjini Frankfurt Germany.
 
Last edited by a moderator:
mKUU Young Master ni mekuelewa Lakini haya Mabasi ya Kijerumani ni Mazuri tena yanakwenda Mwenda wa kasi utafikiri Magari madogo kisha mazuri ukipanda ndani yake utafikiri umepandandege ya chini haya tena Wanunuzi kazi kwenu njooni muje kununuwa Luxury bus .

Utawaweza wabongo mkuu...wanapenda vitu cheap. Halafu tatizo sasa upatikanaji wa hayo mabasi ndio ishu maana wabongo tumezoea magari ya japan sasa mpaka labda walete watu kadhaa na yakapendwa maybe ndio watu wataanza kununua
 
Utawaweza wabongo mkuu...wanapenda vitu cheap. Halafu tatizo sasa upatikanaji wa hayo mabasi ndio ishu maana wabongo tumezoea magari ya japan sasa mpaka labda walete watu kadhaa na yakapendwa maybe ndio watu wataanza kununua
Mkuu Young Master Ni kweli Wabongo wamezoea magari mabovu ya kijapan Mabasi haya ya Mercedes benz na Mabasi ya Ikarus ndio mengi yanatumika nchi za Bara la ulaya kwa Safari za mbali Sijaona mimi huku Mabasi ya kutoka Japan mengi ya mabasi ya huku ni Kutoka Hungary Ikarus na Mercedes benz luxury bus kutoka Germany ndio yapo mengi Ulaya kuliko Magari ya kijapan ni uoza mtupu unaokwenda Bara la Afrika.
 
Mkuu,

Upatikanaji wa spareparts unakuwaje? Unweza kupata spare zake Dar au nchi yoyote jirani? Au ukihitaji spareparts lazima kuwasiliana na tena na mdogo wako?

Tiba
 
Mkuu,

Upatikanaji wa spareparts unakuwaje? Unweza kupata spare zake Dar au nchi yoyote jirani? Au ukihitaji spareparts lazima kuwasiliana na tena na mdogo wako?

Tiba
Mkuu Tiba Upatikanaji wa spea ipo office ya Magari ya Mercedes benz hapo Dar ukiende ofisini kwake unaweza kupata Spea hata kama hakuna lakini wanaweza kukuagizia spea toka hapo ofisini kwake Dares-Salaam. Uzuri

wa gari hili ukilinunuwa basi ingine yake kuharibika labda baada ya miaka 10 au 15 ijayo tangu ulinunuwe kama litaharibika basi itakuwa ni vitu vidogo vidogo labda lipate ajali kubwa sana hapo ndipo kutakuwa na matatizo lakini kwa matatizo

mengine ondowa shaka huyo sio Mchina kaka huyu ni MJerumani mwenyewe hana matatizo kabisa Mabasi imara sana niamini Mkuu.
 
hivi euro moja shilingi ngapi kwa sasa?
Mkuu Mokoyo Euro 1 TZshillingi Elfu 2 na 109. Convert Euros (EUR) and Tanzanian Shillings (TZS): Currency Exchange Rate Conversion Calculator

EURTZS
coinmill.com
0.501054.80
1.002109.55
2.004219.15
5.0010,547.80
10.0021,095.65
20.0042,191.30
50.00105,478.20
100.00210,956.45
200.00421,912.85
500.001,054,782.15
1000.002,109,564.30
2000.004,219,128.60
5000.0010,547,821.55
10,000.0021,095,643.05
20,000.0042,191,286.15
50,000.00105,478,215.30
100,000.00210,956,430.65
EUR rate
March 11, 2013
TZSEUR
coinmill.com
1000.000.47
2000.000.95
5000.002.37
10,000.004.74
20,000.009.48
50,000.0023.70
100,000.0047.40
200,000.0094.81
500,000.00237.02
1,000,000.00474.03
2,000,000.00948.06
5,000,000.002370.16
10,000,000.004740.32
20,000,000.009480.63
50,000,000.0023,701.58
100,000,000.0047,403.15
200,000,000.0094,806.31
TZS rate
March 12, 2013
 
Last edited by a moderator:
gari za injini nyuma katika mazingira yetu hazifai kutokana na hali ya barabara zetu sehemu kubwa ni milima na cooling system yake haipo vizuri sana. wengi walijaribu kuzinunua kipindi cha nyuma kutoka kwenye scania, mitsubishi,volvo lakini kwa sasa hakuna hata moja lililopo njiani sasa.
 
Kwa wastani wa nauli ya TZS 30,000 DAR/ARUSHA na kwa ujazo wa labda 75% i.e.abiria 40 kwa safari moja huu mradi lini utarudisha pesa yake (pay back period)? Gharama za uendeshaji ukilinganisha na SCANIA zikoje MziziMkavu ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom