Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,777
- 24,211
Ikiwa tunahesabi siku Ili kuukamilisha mwaka 2023 Leo turejelee matukio makubwa yaliwahi kutokea kwenye ulimwengu wa futbol hapa mjini Tanzania
1. Yanga 5 ...1 Simba, hapa ilikuwa tar 5/11 mwaka 2023 pale makolo walilamba nyasi za mkapa Kwa kichapo kikubwa kuwahi kutokea ndani ya miaka 10 kwenye dabi ....
Pia kichapo hiki Simba alipata kipindi yupo kwenye peak kubwa ya ubora
2. Yanga 5....0 KMC hiki ni kichapo walichokopata KMC wakiwa full mkoko ( waziri junior) mbabe wa Simba akiwemo ndani lakini hakuweza furukuta kwenye ukuta wa babeli
3 Azam 5.....0 mtibwa hapa Azam wakiwa na wachezaji wao wakali kina kipre junior.....akaminko ...na fei toto walishusha mvua ya magoli Kwa walima miwa wa morogoro
Ni haya tu Kwa leo .....Je nitukio Gani la kisoka unalikumbuka mwaka huu??