Haya ndio Mapinduzi ya Zanzibar, yamerikodiwa live na waitaliano 1964

...miongoni mwa dhambi ya wageni wote waliokuja afrika ni pamoja na kupindapinda ukweli, mfano huo wa ati "zanzibar hapakuwa na maisha rasm"...lol..lugha ya wakoloni wote ilikuwa hivyo..!..unasema mshirazi na mwarabu si watu wa mbali..swadakta..je mwafrika na mwarabu? hapa ishu ni ukoloni wa waarabu ktk zanzibar..! kwenye kikao cha wakoloni cha mwaka 1884, sultan wa oman alikuwepo..! na kwenye mgawo alipewa zanzibar na pwani yote ya afrika mashariki(mogadishu to beira)...! hujui hiyo historia? umesomea wapi kaka, arabuni? hunajua kuwa kulikuwa na tawala nyingi ktk afrika lkn sababu hazikuwa na malengo ya kikoloni hazikushirikishwa kwenye mkutano huo...!hivi ndugu yangu we hujui kuwa ukoloni ni ukoloni tu? kisha nakuona we ni "mwelewa", niambie tafsiri ya kisomi ya ukoloni, kisha uniambie ukoloni wa tanganyika ktk zanzibar..mbona unakuwa na hoja za "kichimvi mno" ambazo ni kichekesho kinachoashiria mapungufu ya kujenga hoja kwa mwanazuoni wa kiwango cha kuchangia kwenye jf?...! jamsheed alikuwa msomi yakhe..! msomi kweli kweli..! na anajua kwenda na ukweli na wakati, bahati mbaya waliomzunguka ambao aliwaamini hawakuwa wakimpa ukweli wa mitaani ili afanye mabadiliko yaliyohitajika ambayo yangeepusha dhulma iliyowakuta maelf ya wanyonge ambao walidhulumiwa nafsi zao na mapinduzi matukufu..! stay blessed bro..! salaam!

RED Xs,

Vipi ndugu yangu,yale maafa ya 1964 wewe ndo unaita mapinduzi matukufu!?...khalaf wewe ndo unajinasibisha na Ungazija kweli,au ndo wale Wangazija pori!?

Sasa wewe unamstaajabu Bin Faza,khalaf nawewe si ndo unafanza yaleyale!?

Takriban watu 20,000 kupoteza maisha yao katika siku chache mno ikiwemo; virongwe,watoto,walemavu, wanawake wajawazito...khalaf wewe ndo unaita ati hayo ni mapinduzi matukufu!?

Jingine nakusihi jitahidi uondoshe hiyo mifano ya kidini hapa jamvini,maana italazim wengine kukujibu matokeo yake ghafla jamvi lote litachafuka. Kama wewe ni "Muislamu",basi tumeshakusikia!

Jitahidi kuulindia hishma na hadhi yake huo usomi wako ndugu yangu!

Ahsanta.
 
RED Xs

Kwa hisani yako fungu akitabu kiitwacho ZANZIBAR TRADITION AND REVOLUTION kilondikwa na ESMOND GRADLEY MARTIN, published by HAMISH HAMILTON (LONDON) ISBN 0-241-89937-0 MWAKA 1978

soma p25

ripoti ya Marco Polo kuhusu zanzibar ilisema hivi.....zanizbar wakaazi wake ni weusi awana nywele za singa...

sasa pingana na hao wazungu

walipofanya mkutano wa ujerumani wa kuigawa afrika, wakazichukuwa sehemu zote za zanzibar isipokuwa wakaawachia visiwa vya unguja na pemba, mombasa na mafya na fukwe yote ya east afrika kama inavoonekana katika ramani hii ya 1886

Zanzibar 1885.jpg

kama unaweza kupingana na wazungu sawa

ukitaka kujuwa zaidi uliza tu
 
gombesugu

RED Xs,

Vipi ndugu yangu,yale maafa ya 1964 wewe ndo unaita mapinduzi matukufu!?

Sasa wewe unamstaajabu Bin Faza,khalaf nawewe si ndo unafanza yaleyale!?

Takriban watu 20,000 kupoteza maisha yao katika siku chache mno ikiwemo; virongwe,watoto,walemavu, wanawake wajawazito...khalaf wewe ndo unaita ati hayo ni mapinduzi matukufu!?

Jitahidi kuulindia hishma na hadhi yake huo usomi wako ndugu yangu!

Ahsanta.

hawa wana sababu zao lakini hawana uwazi wanaogopa kusema hasa yalioko moyoni mwao
 
RED Xs,

Vipi ndugu yangu,yale maafa ya 1964 wewe ndo unaita mapinduzi matukufu!?

Sasa wewe unamstaajabu Bin Faza,khalaf nawewe si ndo unafanza yaleyale!?

Takriban watu 20,000 kupoteza maisha yao katika siku chache mno ikiwemo; virongwe,watoto,walemavu, wanawake wajawazito...khalaf wewe ndo unaita ati hayo ni mapinduzi matukufu!?

Jitahidi kuulindia hishma na hadhi yake huo usomi wako ndugu yangu!

Ahsanta.
..umefatilia mjadala wangu na kaka yangu bin faza toka mwanzo au unarukia tu...!
 
Wickama

Good try kaka,

kwanza ujuwe kwamba mapinduzi au mauwaji hayakufika pemba bali yaliishia kisiwa cha unguja, tu nazungumzia mauwaji ya 12 jan 1964

basi inafaa nikupe links za vitabu vyengine zinavozungumzia mauwaji ya znz, labda utapata kujuwa zaidi ni nini saha kilichojiri.

kusuhu mauwaji kama yalivorikodiwa ndio ninavoamini mimi kwamba yametokea na hata aandike nani kitu chengine mimi msimamo wangu ni huo huo kwasbabu nimezungumza na watu walioyashuhudia mapinduzi kwa macho yao

hata ikiwa kuliletwa kikundi kuzuia fujo znz, hiyo ni danganya toto tu, au crocodile tears, mauwaji yalifanywa na watanganyika na tunao ushahidi kamili juu ya hili

Wajua Faza;
1. hii sii mada ya watu kukubaliana kirahisi. Lives have been lost

2. Binafsi nadhani kama mko-organized na mkaona haja ya kushtaki kuwa hiyo itajwe ilikuwa GENOCIDE why NOT? Nyie mtakuwa mnaishitaki Tanganyika/Tanzania? etc... hamumushtaki Nyerere. Office ya Jamhuri ndiyo itakayosimama kuwajibu huko Hague. Kama mnashitaki bora mkajipanga mfanye hivyo kuliko kukaa mnaumia roho. Nachoona mimi mnafanya kumpuuza huyo mwenyeji wa mwenyeji wa Watanganyika. Yeye ndiye mshatakiwa # 1.

For some reason yeye hamumtaji
 
..umefatilia mjadala wangu na kaka yangu bin faza toka mwanzo au unarukia tu...!

Sikurukia wala sikudandia, nimekuulizia kitu specific...umetumia neno "mapinduzi matukufu" pale ulipozungumzia yale maafa yalotukuta ile 1964.

Khalaf,unajinasibisha na Ungazija...ndo nikakuuliza au wewe ndo wale Wangazija pori!?
 
Wickama

Good try kaka,

kwanza ujuwe kwamba mapinduzi au mauwaji hayakufika pemba bali yaliishia kisiwa cha unguja, tu nazungumzia mauwaji ya 12 jan 1964

basi inafaa nikupe links za vitabu vyengine zinavozungumzia mauwaji ya znz, labda utapata kujuwa zaidi ni nini saha kilichojiri.

kusuhu mauwaji kama yalivorikodiwa ndio ninavoamini mimi kwamba yametokea na hata aandike nani kitu chengine mimi msimamo wangu ni huo huo kwasbabu nimezungumza na watu walioyashuhudia mapinduzi kwa macho yao

hata ikiwa kuliletwa kikundi kuzuia fujo znz, hiyo ni danganya toto tu, au crocodile tears, mauwaji yalifanywa na watanganyika na tunao ushahidi kamili juu ya hili

Kaka; Unapotaka kuipindua serikali, lazima UENDE KWENYE THE SEAT OF POWER. Huwezi kupindua Kenya kwa kuhangaika na Voi, Unalenga Nairobi (Cabinet), huko kwingine kama.....pemba, unajenga utilivu tuuu na utawala. Hupindui bongo kwa kuhangaikia babati una-target the seat of POWER dar. Kwa zenj the seat of POWER ilikuwa Unguja. Ni logical wapinduaji waende pale,Faza. Vipi uhangaike na pemba kabla hujaitia serkali kibindoni?
 
sawa sawa Faza, lkn bado kulikuwa na mkono wa wazenji asili kwenye hiyo massacre, kwa hiyo hupaswi walaumu bara peke yao as if kila kitu tuli plan sie, upo hapo mkuu, no need kujitenga bro let us all together sought out haya matatizo tuwe wawili wamoja pamoja as you can see kuna mwanga tunapoenda, ee bwana. Tunawapenda
 
Chabuso,

Nimesoma bayana yako kiduchu. Naona unazungumza kwa hamaki,kama mimi kukuuliza kama unatokea Zanzibar ndo imekukera basi Wallahi niwia radhi. Haikuwa makusudio yangu kukufanzia tashtit asilan.

Nachelea nisijekua najiumiza kichwa kujibizana na jamaa kuhusu khabar za Zanzibar kumbe anatokea Tukuyu...maana siku hizi wataalamu wa History ya Zanzibar wamekua wengi hapo Tanzania!?...ndo maana ya kukuuliza vile kama unatokea hapo Unguja/Zanzibar!?

Kuhusu hiyo Historia ya Zanzibar wala sijipe dhiki ya kunikhadithia mimi,maana naijua kiundani. Kama wewe ulivyokua umekhadithiwa kwa mtazamo wa Wazee wako toka Tumbatu nami halikadhalika nimekhadithiwa pia na Wazee wangu kwa mtazamo wa pale Unguja mjini,na nikafanza utafiti mwingi mno. Lakini kama ujuavyo Ilm ni bahri kuu.

Nafikiri la muhimu ni kuketi na kusikizana bila ya ghadhabu.

Hizi harakati uzifanzazo wewe leo hapa Jf na kujitahidi kudai haki ya Zanzibar na kuionyesha History ya Zanzibar kwa walimwengu,mimi binafsi niliianza kitambo. Tena wakti huo Nyerere akinguruma kiukweli na kutisha watu pita kiasi hapo Tanganyika/Zanzibar na watu woote wakimwogopa na Unguja yoote ilikua imejazana wanafiki watupu!...usinitafute mie kusema mengi tukawapa watu faida ya bure!?

Wakti nyinyi mkimuogopa yule dhalim Karume,mimi Family yangu ilishiriki moja kwa moja kumtokomeza!

Sasa tafadhali usiketi humu ati kutaka kunikhadith mimi khabar za Zanzibar.

Nafikiri la muhimu ni kuwa pamoja na kuangalia khatma ya kile kisiwa chetu itaishia wapi Insha Allah.

Kabla sijakwacha nakuuliza suali kiduchu,hao Wazee wako wa Kitumbatu walipata kukwambia wao khasa asili yao ni wapi!?...hapa najua utanijibu nini nami nakusubiria kwa hamu kubwa!

Ahsanta.

hahahaa Mkuu siandika kwa hasira labda wewe unasoma kwa hasira,lakini mbona unaniuliza private life yangu?mimi sijakuuliza hata swali moja kuhusu wewe unatoka wapi,au wewe nani,kwafupi sikuhadithii wewe chochote kuhusu zanzibar isipokuwa zanzibar ninayoijua mimi naifanananisha nahistoria ya USA.

Wako walioandika historia ya zanzibar kuwa watu wazanzibar ni watu wa Tanganyika,wako waliosema kuwa watu wazanziabr ni warabu,lakini kutokana na uwazi wa information tuliokuwa nao sasa ni kujua wazanzibari ni watu gani

Historia inasema kuwa wzanziabr waliwaita warabu kuja kuwasaidia kuwaondoa wareno,je hawa watu waliowaita warabu walikuwa akina nani?tuanajua kuwa makabila ya pwani kama wasegeju,wazaramo na makabila mengine yanayoishi kwa kuvua kando kando ya pwani ya afrika mashariki wanautamaduni wa unaoitwa kulala "Dago",wavuvi hawa walikuwa wanalala zanzibar,tanganyika, nk utamaduni huo uko mpaka leo

Kwa muono wangu, wazanzibar wa mwazo walikuwa watu kama hawa,ni watu waliokuwa wakiishi kando kando ya afirka mashariki na kulala "Dago" sehemu mbali mbali pembezoni mwa ya pwani ya afrika mashariki,watu kama wasegeju,wazaramo,wadigo,wasomali,wazugua,wagunya nk ,watu hawa baada ya kukaa kwa muda mwingi sehemu ndogo kama zanzibar na kuchanganya na makabila mengine yaliyokuwa si ya kiafrika kam vilé wachina,warabu.wahindi,wapersia,wareno nk, utamaduni,mila,hulaka za washahili wa zanziabar zikazaliwa

Wazee wa bibi wa bibi yangu ni wazigua na wagunya,hawa ndio waliomwita mwarabu kuja kuwasaida kuwaondoa wareno zanzibar,wewe Je,twambie wewe unatoka wapi? :)
 
mi nafikiri hizi video zinaweza kuleta tafsiri ya huruma kwa wale walioathiriwa na mapinduzi. lakini ktuoka moyoni bado naamini kulikuwa na uhalali wa kufanya mabadiliko ya kisiasa zanzibar wakati ule. na kwa vile udhalimu haukuruhusu mabadiliko ya amani mapinduzi yasinge epukika. madhambi yaliyofanywa na waarabu kuwakamata, kuwatesa na kuwatumikisha weusi kama watumwa lazima yangelipwa tu hata na vitukuu vya waarabu husika. unyanyasaji wa hali ya juu kufanywa na serikali ya Jamshid ndani ya mwezi mmoja baada ya uhuru ulitosha kuiondoa serikali yoyote madarakani. mfano kukamata, kutesa na kufungia wapinzani, kufungia magazeti yanayokosoa serikali, kufukuza kazi polisi wote wenye aasili ya bara na kushindwa kurekebisha mgawanyo wa ardhi wa kibaguzi uliokuwepo ni miongoni mwa uhuni uliofanywa na serikali ilyokabidhiwa uhuru desemba 1963.
Ndo maana wanaambiwa kuwa uhuru ulipatikana 1964 lakini wanabisha.
 
Sikurukia wala sikudandia, nimekuulizia kitu specific...umetumia neno "mapinduzi matukufu" pale ulipozungumzia yale maafa yalotukuta ile 1964.

Khalaf,unajinasibisha na Ungazija...ndo nikakuuliza au wewe ndo wale Wangazija pori!?
Duh!ujio wa waarabu kwa kweli una madhara kuliko mazuri kwenye bara letu la Africa hususan Zanzibar na maeneo ya mwambao wa Pwani ya Afrika mashariki.
 
RED Xs

Kwanza sio kweli kwamba washirazi walifanya mapinduzi, washirazi ijapokuwa wanajisema wao ndio wenyeji wa znz lakini kabila lao linatokea Persia, irani ya siku hizi katika mji uitwao Shiraz. Hassan Bin Ali alikuja na watoto wake 7 wakaanzisha Zenj Empire ya kwanza, znz hapukuwa na maisha rasmi, wao wakapafanya ndio kituo chao kuchukuwa maji na mapuumziko kidogo kidogo ndio pakawa na life.

Kwahivo mshiraji na mwarabu sio watu mabli sana, wao hawakushiriki katika mapinduzi

Mapinduzi yalifanywa na watanganyijka, na ikiwa kwa ukweli huu unananihisi mimi ninakuchukieni basi ndio ninakuchukieni kwa kuivamia nchi yetu na kutuulia jamaa zetu kiholela.

wewe utafurahi kama sisi wazanzibar tutakuja tabora au iringa au popote huko tanganyika na kukuuweni kiholela? Jee kwa hilo utatupenda sisi wazanzibari?? be honest pleae!!!!!!

wametudhulumu sana....iko siku
 
Tusichanganye mambo documentary si kitu cha kurekodiwa ni kaz inayotokana na ethnography na kwa mantiki hio inaweza kuongezwa au kupunguzwa tusipotoshwe na rangi kwani hata hip hop ngum ya leo imewezwa kutayarishwa ktk nadharia ya kuonyesha ni yabzamani rusiwe wavivu wa kufikil na lazima ruchunguze kwa makini mambo tunayoletwa na wagen tupo ktk nyakati ambazo kila taifa linataka kuwa kubwa tusome zaid nakufanya tafiti wakati tukiwa katika maswala ya muungano kumekuwepo documentary nyingi za mwarab,mfaransa,mwingereza na wengine wengi lakin nini wanachokitaka kwanini wanatumia technolojia kutupotisha na maredio makubwa TANZANIA NI YETU SISI NDO TUNAIJUA KULIKO WAO WASITUFUNZE MAMBO YALIYOFANYWA NA BABA ZETU KWASABABU TUNAYO NA TUNAYAJUA. Hao wanasiasa uchwara wanatumia hizo documentary kuwapotosha watanzania na hao wenzetu wavivu wa kufokilu MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
RED Xs,

Vipi ndugu yangu,yale maafa ya 1964 wewe ndo unaita mapinduzi matukufu!?...khalaf wewe ndo unajinasibisha na Ungazija kweli,au ndo wale Wangazija pori!?

Sasa wewe unamstaajabu Bin Faza,khalaf nawewe si ndo unafanza yaleyale!?

Takriban watu 20,000 kupoteza maisha yao katika siku chache mno ikiwemo; virongwe,watoto,walemavu, wanawake wajawazito...khalaf wewe ndo unaita ati hayo ni mapinduzi matukufu!?

Jingine nakusihi jitahidi uondoshe hiyo mifano ya kidini hapa jamvini,maana italazim wengine kukujibu matokeo yake ghafla jamvi lote litachafuka. Kama wewe ni "Muislamu",basi tumeshakusikia!

Jitahidi kuulindia hishma na hadhi yake huo usomi wako ndugu yangu!

Ahsanta.

Gombesugu; I dare say huyu REDx kajiandaa sana na hoja za kimantiki in a very EDUCATED approach manner. wewe ni scholar please mjibu kama alivyojieleza, that will be fair. Is it true Sultan wa Oman kwenye Berlin Conference alikuwapo? na because of that akapewa hilo pande la ardhi toka Mogadishu hadi Beira? Bin Faza, hebu hata wewe toa Msaada, ni kweli?

We know for sure MKWAWA, SINA, KIMWERI hawakuwapo, there should be a reason?

Gombesugu achana na Ungazija wake huyu bwana. Ukipoteza muda kwenye ungazija wake hutakumbuka point za kumjibu

cc RED Xs, Bin Faza,
 
Hayaja rekodiwa live ni documentary sahihisha usemi wako na nidocumentary iliyotengenezwa kujibu waingereza na serikali ya bara.Imetengenezwa na waarabu na wafaransa unategemea nini soma zaid uliza wazee watakusaidia please narudia si live fikiria hali ya kisiasa iliyokuwepo kati ya mfaransa,mwarabu na mwingereza juu ya umiliki wa makoloni. Ukiangalia ya waingereza nayo inaonyesha ubaya wa waarabu TUWEMAKINI TUTAPOTOSHA UMMA
 
Tusichanganye mambo documentary si kitu cha kurekodiwa ni kaz inayotokana na ethnography na kwa mantiki hio inaweza kuongezwa au kupunguzwa tusipotoshwe na rangi kwani hata hip hop ngum ya leo imewezwa kutayarishwa ktk nadharia ya kuonyesha ni yabzamani rusiwe wavivu wa kufikil na lazima ruchunguze kwa makini mambo tunayoletwa na wagen tupo ktk nyakati ambazo kila taifa linataka kuwa kubwa tusome zaid nakufanya tafiti wakati tukiwa katika maswala ya muungano kumekuwepo documentary nyingi za mwarab,mfaransa,mwingereza na wengine wengi lakin nini wanachokitaka kwanini wanatumia technolojia kutupotisha na maredio makubwa TANZANIA NI YETU SISI NDO TUNAIJUA KULIKO WAO WASITUFUNZE MAMBO YALIYOFANYWA NA BABA ZETU KWASABABU TUNAYO NA TUNAYAJUA. Hao wanasiasa uchwara wanatumia hizo documentary kuwapotosha watanzania na hao wenzetu wavivu wa kufokilu MUNGU IBARIKI TANZANIA

Afro; Ile documentary ni Filamu inaitwa AFRICA ADDIO. Ilitustua tu baadhi ya mambo fulani. We now know ni film sio live event. You can access hii link na kuona the original title

‫
 
okello alishesema mwafrika hana shukrani. Zanzibay sijui kwa nini hawasusii sherehe za mapinduzi kama mapinduzi ni mabaya kwao.
 
Sikurukia wala sikudandia, nimekuulizia kitu specific...umetumia neno "mapinduzi matukufu" pale ulipozungumzia yale maafa yalotukuta ile 1964.

Khalaf,unajinasibisha na Ungazija...ndo nikakuuliza au wewe ndo wale Wangazija pori!?
.....ashakhum.....wangazija pori maanaake nini kakaangu? mbona unakuwa na kauli kama za watu wa tabia ya "kijinsia ya elton john"...? ulianzia mwanzo wakati nilipozungumzia ubaya wa matumizi ya silaha bila kujali nani anaitumia? bila kujali kama ni jambazi, polisi, wapigania uhuru, wa polisario, ANC,SWAPO, FRELIMO, UMMA PARTY (YA ZANZIBAR0) PLO?...wenye kuelewa tunalaani matumizi ya aina yoyote ya silaha sbb ya matokeo yake..!matumizi ya silaha hayana heri popote yalipotokea, iwe unguja, iwe rwanda, iwe palestina, iwe kosovo, iwe libya..!wanawake , watoto na vikongwe ndio muhanga wakuu wa matumizi ya silaha..! kilichotokea zanzibar kimetokea kila sehemu duniani ambapo watu waliamua kushika na kutumia silaha..! hatufurahii, lkn hatukubali kuwa chini ya ukoloni..! kama una uelewo wa qur'an tukufu soma ktk 8:25 ya qur'an, tafuta na tafsir ya ayah hiyo kisha tafakari kilichotokea unguja mwaka huo wa 1964...kisha tafakari..! mungu awarehemu wale wote waliodhulumiwa nafsi zao kila mahali hapa duniani, hususan ktk afrika na palestina..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom