Haya ndio makabila 10 yenye uwakilishi mkubwa kiuchumi

Mzee angalia nyuzi zako nyingi ni ukabila kwani unakusaidia nn wewe mchaga?

Hauna kazi ya kufanya

hapa nilichoweka ni statistics, ni kama vile orodha ya matajiri wengi wanatokea Marekani, wanakuja waingereza, waafatia wahindi, n.k...kosa lipo wapi hapo ??

Unajua maana ya ukabila ??
 
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa watanzania wachache wenye maendeleo na kisha kutazama uwakilishi kwa kigezo cha idadi na hatua za kimaendeleo.

Haimaanishi kwamba kila mtu wa kwenye kabila husika ana maendeleo, LA HASHA!! Wapo watu wa makabila yaliyotajwa wana ishi katika ufukara na pia wapo matajiri waliotokea makabila ya chini.

1. Raia wenye asili ya bara la asia - Wahindi, waarabu, wachina.

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wapemba

5. Wasukuma

6. Wahaya

7. Wanyakyusa

8. Wapare

9. Waha

10. Wakurya

View attachment 2549548
Bora nimo humo 🤣🤣
 
hapa nilichoweka ni statistics, ni kama vile orodha ya matajiri wengi wanatokea Marekani, wanakuja waingereza, waafatia wahindi, n.k...kosa lipo wapi hapo ??

Unajua maana ya ukabila ??
Ukabila wewe kila siku mara kabila fulani au tulete nyuzi zako hapo kila siku makabila hauna kazi ya kufanya?
 
Mkuu labda una hasira tu kwamba kabila lako halipo na nimeshaweka wazi list hii haimaanishi kwamba kama kabila halipo basi ndio hakuna watu waliofanikiwa, LA HASHA!!

Pia kitu cha kuzingatia ni kwamba hata katika makabila tajwa wenye maendeleo bado ni wachache
 
Mi sio mkabila hata salamu ya kikabila sijui na wala sijihusishi na hayo mambo hata jina la ukoo situmii ...

Angalia nyuzi zako nyingi zimebase wapi? Punguza hayo mambo ni ushamba
 
Jamaa Lina mada za kiboya Sana,
Watu wanawaza jinsi ya kuiondoa ccm na kuleta Katiba mpya yeye linaleta mada za kikabila.
 
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa watanzania wachache wenye maendeleo na kisha kutazama uwakilishi kwa kigezo cha idadi na hatua za kimaendeleo.

Haimaanishi kwamba kila mtu wa kwenye kabila husika ana maendeleo, LA HASHA!! Wapo watu wa makabila yaliyotajwa wana ishi katika ufukara na pia wapo matajiri waliotokea makabila ya chini.

1. Raia wenye asili ya bara la asia - Wahindi, waarabu, wachina.

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wapemba

5. Wasukuma

6. Wahaya

7. Wanyakyusa

8. Wapare

9. Waha

10. Wakurya

View attachment 2549641
instanbul ukuje huku wamekuweka chini ya wachaga huyu mtu hana akili kabisa
 
Back
Top Bottom