Haya ndio majina ya kike na kiume yenye mvuto wa kimapenzi

acha izo ww jina haliwez kuwa na mvuto wa kimapenz ila mtu ndo anao sema yanaradha mdomoni
 
tang'ana

kiume
1. rugemalira
2. maswi
3. saliboko
4. chenge
5. riziwani

kike
1. anna tibaijuka
2. sitti mtemvu
3. salma kikwete
4. sitti mwinyi
5. regina lowassa

kwa majina haya ukiwa huna mvuto wa kibiashara, mapenzi na masikini basi utakuwa umejitakia mwenyewe ila yana nyota sana kimafanikio

Dealers haaa
 
Last edited by a moderator:
Jayson
 

Attachments

  • FB_IMG_1541099082448.jpg
    FB_IMG_1541099082448.jpg
    9.1 KB · Views: 38
Back
Top Bottom