Haya matuta kwenye barabara lengo lake nini?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
264
276
Habari.

Haya matuta kwenye barabara lengo lake nini? Magari yanapita kwa spidi kama kawaida, na mbaya zaidi Lori kubwa zikiwa na mzigo wa tani30+zinafukia tu hatari kwa waenda kwa miguu na nyumba za pembeni yani unaona hadi zinatikisika, lengo la kuweka matuta nini?
 
Habari.Haya matuta kwenye barabara lengo lake nini?magari yanapita kwa spidi kama kawaida,na mbaya zaidi Lori kubwa zikiwa na mzigo wa tani30+zinafukia tu hatari kwa waenda kwa miguu na nyumba za pembeni yani unaona hadi zinatikisika.lengo la kuweka matuta nini?
Kupunguza speed
 
Back
Top Bottom