Haya Lulu ni 18 au under 18? Jibu lipo hapa!!

Simpendi huyu mtoto anayetangaza hiki kipindi!! Mketema anajiona anajiona anajua kuliko anavyojua.....!!!

amezaa na ridhiwani lazma ajione yuko juu! hivi jamani baba yake ridhiwani karudi toka kwa romario??? natamani kuona kofia yake aliyopewa kama zawadi. kwi kwi kwi! long live our presidar!
 
Kaka hapo juu unamatatizo hivi hizi picha zinaruhusiwa humu ndani ama fujo zako. By the way nani kampiga hiyo picha?. Usije ukaambiwa the late super-star wako ndio muhusika mkuu. Maana ana staili ya nyele kama ile picha yake wakati yu bi mdogo jamaa kamshika nywele kwa nyuma wakila pozi, who knows what went on that evening.
 
Vitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.


mdau wa lulu, fanya kazi bana, achana na huyu binti, je kama alikuwa amelewa wakati anahojiwa hapa? acha uvivu wa kufikiri, chapa kazi
 
Last edited by a moderator:
whta is a big deal? miaka 18 is even foolish and childish kuliko 17. Angekuwa na 25 sawa
 
Nacho weza kusema lulu kilipocho mpoza ni foolish age ndo mayamemkua makubwa lakini tumkumbuke kwenye maombi and give her a second chance whch everybody deserve it and she is just 17 of age.
 
Vitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.



Hivi ni kweli Lulu ana leseni ya kuendesha gari? Je, sheria yetu ya udereva inamtaka dereva hasiwe chini ya umri gani? Kama 18, Lulu alionyesha evidence gani na kupatiwa leseni kama amekuwa na leseni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom