Haya Lulu ni 18 au under 18? Jibu lipo hapa!!

Kama huna uzi wa maana kuanzisha piga kimya, pitiapitia au coment za wenzako
 
Vitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.




mkuu HATA POLISI WAKIKUFINYA MAKALIO UNARUHUSIWA KUKUBAI ULIUA MAHAKAMANI UKAKANA NA USHAHDI UKAKUBALIWA KWA MAANA ULILAZIMISHWA POLISI UKIWA UMEKALIA KIGGOGO KUONDOA MAUMIVU IKABIIDI UKUBALI
 
Last edited by a moderator:
Nashauri msishadidie sana umri wa under 18!. Imri wa mwisho wa minor kwa Tanzania ni under 14 na umri wa criminal liability ni Over 16!.

Watu hapa wanachanganya umri wa majority ambao ndio huo wa kupiga kura ambao ni 18!. Kwa issue ya binti umri hausaudii kitu.

Lulu ataachiwa huru only if atasema nothing but the truth!.
 
kama umekosa habari njoo arusha na mwanza kuna vimbwanga vingi, msituletee uchafu huu tena, unasikiiia, ALAH
 
Vitu kama hivi lazima vipelekwe mahakamani ili kuhakikisha baadhi ya issues katika kesi ya Bi Lulu.



Simpendi huyu mtoto anayetangaza hiki kipindi!! Mketema anajiona anajiona anajua kuliko anavyojua.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom