Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu.
Awamu hii ni kwa ajili ya kujaza nafasi wazi 139 za Watumishi ambao hawakuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa awamu ya kwanza.
Waombaji wote walio pata nafasi wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Soma PDF