Hawezi fanya chochote bila mimi, nisaidieni wana JF...

BABA CATHE

Member
Nov 12, 2013
56
14
Kuna binti mmoja nasoma naye chuo flani hapa tanzania, ni rafiki yangu wa kawaida toka muda mrefu ila hivi karibuni amenifungukia kwa kutaka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mimi. Wana JF huyu binti na mimi ni vitu viwili tofauti kwani hayupo moyoni mwangu kabisa nifanyaje?? na hadi hivi sasa anamtuma rafiki yangu wa kiume anambie kuwa hawezi fanya chochote hadi atimize azma yake (kuwa na mim).
 
Khaaa si umpe makavu live aisee!kuwa sivutiwiii nawewe kabsa ila akasake mwngne!acha kua domo zege bhana!otherwise unampenda ww unazuga tuuu!
 
Kuna binti mmoja nasoma naye chuo flani hapa tanzania, ni rafiki yangu wa kawaida toka muda mrefu ila hivi karibuni amenifungukia kwa kutaka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mimi. Wana JF huyu binti na mimi ni vitu viwili tofauti kwani hayupo moyoni mwangu kabisa nifanyaje?? na hadi hivi sasa anamtuma rafiki yangu wa kiume anambie kuwa hawezi fanya chochote hadi atimize azma yake (kuwa na mim).

Oooh mama!!!
 
mwambie ukweli kuwa humpendi yaishe,,,,,sasa tatizo liko wapi hapo
 
ni kiasi cha kumwambia una mtu mwingine au hana nafasi kwako basi. usimtese kwa kukaa kimya :smile-big:
 
bigup bak, kwa ushauri wako mzuri kwa kaka, wengi wanaleta mizaha na jazba. kaka mtoa uzi, chukua huo ushauri.
 
charminglady siwezi fanya lolote bila wewe, tafadhali nikubalie mwenzio...ha ha ha..hivi haya maneno bado yanatumika!! Thamani ya urafki wenu pima na siku mtakapotibuana kama wapenzi
 
Last edited by a moderator:
mkuu mueleze ukweli huyo bibie

'' kumbe siku hizi mabinti nao wanafunguka''
 
Sasa ww c mwanaume tatizo nn hujiamin au? Inaelekea unatifilling abt her ndo maana hujui nn uamue
 
Mwambie na wewe hutaweza kufanya chochote akiwa mpenzi wako, bora mbaki marafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom