Hawataki JK Apate Shahada ya MO IBRHIM?

ile tuzo haitolewi kwa vigezo hewa! ndio maana mwaka jana haikutolewa kwani hakukua aliyefanya vizuri so ni bora wasitoe kuliko kumbandika mtu ilimradi so hatopewa kabisa!
 
Are you mad? Jk apewe tuzo ya mo-ibrahim! A nice dream bt not for jk may be dr slaa.

Mungu mkubwa, Salim Ahmed Salim sasa ndiye Mwenyekiti wa hiyo NGO.....na hawezi msamehe JK kwa kampeni chafu alizozifanya 2005!
Malipo ni hapa hapa duniani....
 
Back
Top Bottom