Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

Wewe utakuwa tajiri sana.Mtu wa kipato cha kawaida hawezi kuacha hata milioni mbili kwenye gari na asilock mlango labda uwe boss wa polisi.Alafu mwanaume unaendeshaje gari iliyobinuka matako kama Juke.
 
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi mbezi kwa magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee.huyu mjknga huyu daa

Pesa ni za.wife za.mauzo ya leo.dukani kwake pale bamaga sasa nilipaki gari nikaenda kupata futari sasa kosa langu mimi sikufunga mlango aisee niliuegesha tu aisee kumbe kuna wahuni wananisoma tu aisee baada ya kumaliza.

Kupata futari kurudi kwwnye ndinga yangu nissan juke number E nakuta mlango umefungwa kama nilivyoacha lakini kuangalia ndani milioni 10 haipo,busainess card zangu hazipo na document za makabidhiano ya kununua mgodi wangu wa dhahabu geita haupo

😩😩😩😩😩😩
Unatembeaje na large cash kirahis hivyo halafu unaacha kwenye gari? Man think about strategy zako again, uko so exposed
 
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi mbezi kwa magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee.huyu mjknga huyu daa

Pesa ni za.wife za.mauzo ya leo.dukani kwake pale bamaga sasa nilipaki gari nikaenda kupata futari sasa kosa langu mimi sikufunga mlango aisee niliuegesha tu aisee kumbe kuna wahuni wananisoma tu aisee baada ya kumaliza.

Kupata futari kurudi kwwnye ndinga yangu nissan juke number E nakuta mlango umefungwa kama nilivyoacha lakini kuangalia ndani milioni 10 haipo,busainess card zangu hazipo na document za makabidhiano ya kununua mgodi wangu wa dhahabu geita haupo

😩😩😩😩😩😩
Acha uibiwe unapenda sana sifa aisee. Nissan juke namba E aiseee
 
Nahisi ni chai hii. Mbona Nissan Juke inatajwa sana? Halafu mimi hako kagari nakaonaga kama kamdoli fulani hivi kachurachura.
 
Hapo Mbezi Magufuli sio kabisa, mwenyewe juzi wameniliza bilioni 246 niliacha kwenye siti ya private jet yangu mbele ya hilo jengo
 
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi mbezi kwa magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee.huyu mjknga huyu daa

Pesa ni za.wife za.mauzo ya leo.dukani kwake pale bamaga sasa nilipaki gari nikaenda kupata futari sasa kosa langu mimi sikufunga mlango aisee niliuegesha tu aisee kumbe kuna wahuni wananisoma tu aisee baada ya kumaliza.

Kupata futari kurudi kwwnye ndinga yangu nissan juke number E nakuta mlango umefungwa kama nilivyoacha lakini kuangalia ndani milioni 10 haipo,busainess card zangu hazipo na document za makabidhiano ya kununua mgodi wangu wa dhahabu geita haupo

😩😩😩😩😩😩
Na bilionea haupo.... uzuri wamekuachia akili za kuandika JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom