Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Mbona kawaidaaaa sanaa sasa angefanyaje ? Akapambane nabodi...
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Wangeweza funga cable 4 ika balance wakavuta tokea kwa chasis, kapewa mtu ufukara.
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Mbona ilishaharibiwa na mafuriko? Hapo ni vyuma chakavu tu mkuu.
 
Gari nzima kabisa hiyo, ilikuwa inafanya kazi kawaida na ilisogezwa na maji umbali wa mita 50 kutoka ilipokuwa ikaja kugota hapo.

Injini ikifanyiwa overhaul inapona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom