Hawa viongozi wetu hata kuvaa nako ishu?

tuachen udini na chuki binasfsi mnasahau utendaj wake mzur kwa kua amevaa vazi la heshma,vaz takatifu..hlo ni miongon mwa mavaz rasmi ya serikal muangalie mbowe alivyopendeza yan kwel mungu humuongoza amtakaye.
 
kwanza naamini wewe ni adui namba moja wa waislam baada ya lile taifa kubwa, mungu akulaani ufe na ukafiri wako. Dr Dau ana uhuru wa kuabudu na kufanya anacho amini kina kubalika kwa dini yake, jamii yake na serikali na si kuangalia matakwa yako. nilikua siamini kama tanzania ina watu wenye fikra kama zako za kikaburu na ukafiri ulitukuka. InshaAllah mwenyezimungu amlinde Dr. na maadui kama wewe!!!
 
Kumbe kuvaa kanzu nako ni uswahili...............Waarabu wote waswahili na mswahili akivaa suruali au Suti sijui ataitwa nani
 
kwanza naamini wewe ni adui namba moja wa waislam baada ya lile taifa kubwa, mungu akulaani ufe na ukafiri wako. Dr Dau ana uhuru wa kuabudu na kufanya anacho amini kina kubalika kwa dini yake, jamii yake na serikali na si kuangalia matakwa yako. nilikua siamini kama tanzania ina watu wenye fikra kama zako za kikaburu na ukafiri ulitukuka. InshaAllah mwenyezimungu amlinde Dr. na maadui kama wewe!!!

hahaaa mkuu utamtambuaje adui wa Uislamu acha hisia zako mbaya wewe wewe ndio inaonekana una kiroho cha ajabu na unajiona wewe ni mtukufu saana mpaka unamwita mwenzako ni Kafir; huu ni upuuzi
 
Mmmmh jamani, mbona hilo lililovaliwa na Bosi huyo wa NSSF ni vazi bora na la heshima sana ndio maana hata wenzetu wa Bukoba, Baganda, Usokile wanavaa watu wa heshima pasipo kuainisha kuwa ni vazi la kidini. Nasema vazi la kidini na siyo la kiislamu kwa vile hata mapadre na maaskofu hulivaa pamoja na Papa. Tatizo liko wapi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani mimi naomba kuuliza

Inakuwaje mtu mwenye cheo kama DG wa shirika kubwa kama NSSF anavaa hivi tena mbele ya board members...au mwenyekiti wa chama mbadala kuvaa hivi?

Kuhusu Freeman Naelewa alikuwa Bungeni sasa huyu Dau inamaana amewadharau hawa board members au uswahili umemkaa?

Hivi kuvaa nako kunahitaji mwongozo?

I'm utterly disappointed na haya mambo ya viongozi wetu kutaka yaingizwe kwenye katiba mpya? Kenya nako attorney General wao anavaa hereni kisioni

Hivi huyu Dau anataka awe taken serious CEO kweli? Huwezi kukuta akina Kitilya wa TRA au yule Kimei wa CRDB akionyesha daharau kwa board members kama huyu


IMG_4942.JPG


Pichani: Dau akiwa na board Members wa NSSF 77

pp34.jpg
wed.jpg
IMG_1895.jpg


Rais mtarajiwa wa Tanzana (FREEMAN) ....naye kaingia kwenye huu mkumbo sasa sijajua hii ni influence ya Zitto au Freeman anajaribu kutuonyesha naye ni MAN OF THE PEOPLE?

Naomba mwongozi tafadhali

Nahisi choyo cha hilo vazi lilivyowapendeza ndio tatizo Basi. Kagonjwa hicho kitawasumbua kwani mwisho wa siku ukweli utawasuta.
 
Hata mie sijaona tatizo kwa hilo vazi ni la heshima tu,linatumiwa sana na waislamu. labda kama mtoa thread una yako mengine
 
Lowasa naona kashindwa kuelewa wenzie wanakunja vipi miguu. Wali haushuki akikaa hivyo.

kiona una nuksi! kaoshweee, tena namafuta ya nazi! je? angekuwa pengo na wengine ungetoa iyo picture! mnafiki udini unakumalizia fikra zako kichwani
 
Hivi kanzu siyo nguo ya heshima? mleta mada umeonyesha ni jinsi gani ulivo DHAIFU
 
kiona una nuksi! kaoshweee, tena namafuta ya nazi! je? angekuwa pengo na wengine ungetoa iyo picture! mnafiki udini unakumalizia fikra zako kichwani

Sasa naona uelewa wako ni mdogo sana. hivi unaona lowasa anafanana na wenzie hapo hata mavazi tu. Tumia akili acha kukurupuka. Elewa kwanza mtu anasema nini kisha ueleweke.
 
Mimi sioni tatizo la mtu kuvaa kanzu, kwani mtu akivaa kanzu yake anamdharauje mwingine?

Wewe ndio mswahili. Angevaa msuli ofisini labda, lkn kanzu mimi naona safi tu, labda una yako. Au mpk aanze mzungu?
 
Back
Top Bottom