w/end leo ujue....
Hawa ni watu wa PAPUA NEW GUINEA.
Ni moja ya makabila yanayoogopwa kwa Ulaji wa watu (Akina Rama wala watu).
Msiwachekee hawa, ukifika kwao wewe ni Nyama ya Mshikaki au Kiti moto pori.
Wanavaa Original Vuvuzela......
Papua New Guinea....wanakulaga watu
Ahahahahaaaaah hii kali.Nimeipenda hiyo hifadhi yao maana muda wote inabidi kitu iwe attention la sivyo inachomoka.