Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,194
- 5,598
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza nifike ofisini kwao, imetokea mara kwa mara na ignore, jana na leo imetokea kwa ndugu zangu wawili, mmoja akaongea nao, akapokea mdada kamwambia aende sinza mori akifika hapo ampigie, nina wasiwasi., tusaidiane..je hawa ni wakina nani? na nani huwapa namba zetu bila na majina bila idhini idhini?