Hawa Ndio Viongozi Wangu Wa Siasa Ninaowaamini

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
  1. Dr. W. Slaa
  2. F. Mbowe
  3. Tundu Lissu
  4. John Mnyika

Mungu awalinde, msitafute utajiri wa hapa duniani maana utajiri wenu utakuwa umeandaliwa mbinguni.

Update

Hawa ndio ninaowaamini mimi binafsi kwa asilimia kubwa, wengine wote siasa zao na mambo yao jinsi wanavyofanya napata na mashaka, nahisi watakuwa ni walewale tu, awe CCM awe CDM au chama chochote kingine.
 
Mbowe,slaa wamemfanya sabodo kuwa atm yao kwa ku2mia chadema...ninao waamini tibaijuka na zitto
 
Yaani wewe unaamini viongozi wa kiume tu? Umedeviate kutoka mainstream wisdom ambapo wanawake huaminiwa zaidi!
 
  1. Dr. W. Slaa
  2. F. Mbowe
  3. Tundu Lissu
  4. John Mnyika

Mungu awalinde, msitafute utajiri wa hapa duniani maana utajiri wenu utakuwa umeandaliwa mbinguni.

Update

Hawa ndio ninaowaamini mimi binafsi kwa asilimia kubwa, wengine wote siasa zao na mambo yao jinsi wanavyofanya napata na mashaka, nahisi watakuwa ni walewale tu, awe CCM awe CDM au chama chochote kingine.

Hicho kidole ulicho andikia hiyo oradha , MUNGU ndio kakupa ! Kama umewaacha wengine kwa hila ya kushotokushoto wakati ukweli unaufahamu ; haya bwana. Tunao wabunge wengine wengi hujawataja. Eg Lema, Nasari, Mdee, Msigwa, Sirinde, Wenje, etc na madiwani wapiganaji kibaaaaao. Shauri lako.
 
Tubalansi genda jamani, namwadmire sana mdee. Anajiamini sana, ni mfano wa kuigwa kwa wadada wote. Usipojiamini hata sisi wanaume tutakuwa tunakuchezeachezea tu. She is really a strong woman.
 
Back
Top Bottom