Hawa Ndio Viongozi Wangu Wa Siasa Ninaowaamini

Tubalansi genda jamani, namwadmire sana mdee. Anajiamini sana, ni mfano wa kuigwa kwa wadada wote. Usipojiamini hata sisi wanaume tutakuwa tunakuchezeachezea tu. She is really a strong woman.
huyu demu kwakweli mumewe/boifrendi wake anapataga shida sana!.
 
Back
Top Bottom