Hawa ndio CCM wa London, mikutano yao hufanyika kizani wasionekane. Wanaogopa nini?


Wamenunu kwa sababu hawakupewa ubwabwa si unaona soda zenyewe mbili, magamba yanasikitisha sana
 
Nilisha sema hapo awali, huyo Mkenya "Maina Owino" ndiyo ameliuwa hilo Tawi lao la CCM UK na hana sifa za uongozi pamoja na mradi wao wa opena, anauchu wa madaraka na anapenda sifa, ni mlevi sana "cha pombe" ona hilo tumbo, wanachama wengi wa CCM UK wamekwenda CHADEMA. Wamebaki wenyewe katika hilo kundi la picha yao ya pamoja, jamii haiwakubali tena "picture can tell a story" angalia hizo picha zao tafakari....
 
Chadema mikutano yao ni baa na tawi lao la reading ni la mateja na wauza unga hiki ni chama au majambazi


Safi sana: ...CHAMA CHA MAJAMBAZI a.k.a CHAMA CHA MATEJA, a.k.a CHAMA CHA MAFISADI, a.k.a CHAMA CHA MABWEPANDE, a.k.a. CHAMA CHA MIJIZI, ..ndiyo wauza unga, kifupi chake je? ... uhusiano na CDM ni wa paka na panya!.
 
safi sana: ...chama cha majambazi a.k.a chama cha mateja, a.k.a chama cha mafisadi, a.k.a chama cha mabwepande, a.k.a. Chama cha mijizi, ..ndiyo wauza unga, kifupi chake je? ... Uhusiano na cdm ni wa paka na panya!.
kaazi kweli kweli
 
Jamaa kabanda hiyo traki anavaa kwenye matukio mhimu toka 2010 enzi za baba mwanaasha anaomba lidhaa.
 
Back
Top Bottom