Hawa ndio CCM wa London, mikutano yao hufanyika kizani wasionekane. Wanaogopa nini?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Nimeikuta hii kwa mjengwa

CCM London walikutana wakati Chadema wanafanya mkutano Reading.
Cha ajabu hawa jamaa walikutana vichochoroni kwenye kiza kinene kama vile uwanja wa fisi.
Swali ; Kwa nini wakutane kizani walikuwa wanaogopa nini?

Yaani kweli hiki chama kinaoza.Yaani mbwembwe zote za chama tawala,chakula cha bure na miziki hawa ndo waliohudhuria mkutano wao.M4C Hamuiwezii.
Mdau

Na hizi ndio coments nilizokuta huko kwa mjengwa

MKUSANYIKO WA MAFISI
Sat Sep 01, 08:11:00 PM GMT+03:00
blank.gif

Anonymous said...Wote wako kwenye benefit , wengine kwa sababu ni viguru, na wengine ni wavivu tu ni wavivu
Sat Sep 01, 08:13:00 PM GMT+03:00
blank.gif

Anonymous said...hapa walipo mbona pachafu hivyo au wako uwanja fisi nini?
Sat Sep 01, 08:14:00 PM GMT+03:00
blank.gif

Anonymous said...mbona sura zao zimechoka sana ,
Kweli boksi linazeesha.
wale wanawake zao wamechoka kama wachoma mkaa
Sat Sep 01, 08:23:00 PM GMT+03:00
blank.gif

Anonymous said...kweli ccm wamechoka mpaka vikao vyao wanafanyia kizani wasionekane, hapo ukiwatumia immigration watatoka nduki kama vile ukimrusha mbwa katikati ya kundi la kuku. yatabaki mabawa tu.
Sat Sep 01, 08:37:00 PM GMT+03:00
blank.gif

Anonymous said...HAHAHAAAA
Kweli huu ni mkusanyiko wa mafisi...
 
Kazi kweli kweli
wataisoma tu
M4C twanga kote kote

Wote hawa naisi watakuwa
maafisa wa ubalozi wetu huko
hakuna mtu mwenye hakili
sawa hawepo hapo
never......

V
SENGEREMA
 
Souvenir zinawatoa wengi hata wa ulaya eeh? Naona jamaa anatesa na kitu cha 2010.
ccm msisahau wafuasi jezi za 2015 manake hii itakuwa ishachakaa.
 
Mkutanoni wanavuta sana ile kitu, angalia huyo aliyeshika sigara mkononi, sikubali mikutano ya aina hiyo, siko tayari kutoka nimelewa na masigareti yao.
 
nimeikuta hii kwa mjengwa

ccm london walikutana wakati chadema wanafanya mkutano reading.
cha ajabu hawa jamaa walikutana vichochoroni kwenye kiza kinene kama vile uwanja wa fisi.
Swali ; kwa nini wakutane kizani walikuwa wanaogopa nini?

yaani kweli hiki chama kinaoza.yaani mbwembwe zote za chama tawala,chakula cha bure na miziki hawa ndo waliohudhuria mkutano wao.m4c hamuiwezii.
mdau

na hizi ndio coments nilizokuta huko kwa mjengwa

mkusanyiko wa mafisi
sat sep 01, 08:11:00 pm gmt+03:00
blank.gif

anonymous said...wote wako kwenye benefit , wengine kwa sababu ni viguru, na wengine ni wavivu tu ni wavivu
sat sep 01, 08:13:00 pm gmt+03:00
blank.gif

anonymous said...hapa walipo mbona pachafu hivyo au wako uwanja fisi nini?
sat sep 01, 08:14:00 pm gmt+03:00
blank.gif

anonymous said...mbona sura zao zimechoka sana ,
kweli boksi linazeesha.
Wale wanawake zao wamechoka kama wachoma mkaa
sat sep 01, 08:23:00 pm gmt+03:00
blank.gif

anonymous said...kweli ccm wamechoka mpaka vikao vyao wanafanyia kizani wasionekane, hapo ukiwatumia immigration watatoka nduki kama vile ukimrusha mbwa katikati ya kundi la kuku. Yatabaki mabawa tu.
sat sep 01, 08:37:00 pm gmt+03:00
blank.gif

anonymous said...hahahaaaa
kweli huu ni mkusanyiko wa mafisi...

huyo mwenyekiti wao wa ccm uk ambaye ni mkenya "maina owino" nasikia ni mlevi kupindukia mpaka analala na kukoroma hapo bar ya vicent reading, heshima yake imekwisha kabisa, pia habari za kuaminika zinasema jamaa ni "fisi" la wanawake na ni mkabila sana "jaluo la kenya" na zaidi ndiye yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kuliuwa tawi la ccm uk kwa kuendeleza majungu, in short ccm uk imekufa ikichangiwa na zile fedha za mradi wa opena ambazo pia owino amakula
 
Mie mwenyewe nimesikia hilo
 
Chadema mikutano yao ni baa na tawi lao la reading ni la mateja na wauza unga hiki ni chama au majambazi
 
Sasa mbona jamaa ana jezi ya zamani hivyo???

Hivi huwa hawatoi mpya eeh?
 
Ni mpaka uchaguzi tena mamito! Labda 1015 watoe za digital uwe unabadili mwaka mwenyewe,lol!
Nna khanga ya maoni ya katiba nimekuwekea tushoneshe sare na wifi. Umuambie fundi abdallah basi manake wakati wa mfungo alisitisha kupimisha.

Hahahahah.....ndio mana nakupendaga mke mwe manake huwa huniachi nyuma lol......ntawasiliana na fundi usijali!

Ila hizi jezi kuzivaa hadharani hivi ni aibu sana .....yaani inabidi ujitoe akili kabisa mke mwenza!
 
ha ha haaaa kwa kweli haya ni mafisi maji....tehe tehe teheeeeee.
 
ccm%2Bbbq%2B004.jpg

Wamekaa kilevikilevi hivi, angalia huyu mwanamke kulia na mwanaume wanayeongea, kweni hapa kuna la maana la kujadili kama si kufaidi peza wa walipa kodi zinazovujishwa na serikali ya CCM kuwarubuni?
 
Hahahahah.....ndio mana nakupendaga mke mwe manake huwa huniachi nyuma lol......ntawasiliana na fundi usijali!

Ila hizi jezi kuzivaa hadharani hivi ni aibu sana .....yaani inabidi ujitoe akili kabisa mke mwenza!

Mie tena na weye?
Usijali, najua aibu kuvaa ila tukienda disco vumbi usiku sio noma sana
 
Chadema ikichukua nchi tu, hilo genge la vibaka hapo linarudishwa nyumbani haraka likanyee debe kule Segerea.
 
Back
Top Bottom