Have you locked your keys in the car? Does you car have remote keys?

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
75
Have you locked your keys in the car? Does you car have remote keys?

This may come in handy someday. Good reason to own a cell phone:

If you lock your keys in the car and the spare keys are at home, call someone at home on their cell phone from your cell phone.

Hold your cell phone about a foot from your car door and have the person at your home press the unlock button, holding it near the mobile phone on their end. Your car will unlock. Saves someone from having to drive your keys to you. Distance is no object. You could be hundreds of miles away, and if you can reach someone who has the other 'remote' for your car, you can unlock the doors (or the trunk).

Editor's Note: *It works fine! We tried it out and it unlocked our car over a cell phone!'*
 
This doesn't work. Cell phones can't capture and transmit radio signals like that.
 
Have you locked your keys in the car? Does you car have remote keys?

This may come in handy someday. Good reason to own a cell phone:

If you lock your keys in the car and the spare keys are at home, call someone at home on their cell phone from your cell phone.

Hold your cell phone about a foot from your car door and have the person at your home press the unlock button, holding it near the mobile phone on their end. Your car will unlock. Saves someone from having to drive your keys to you. Distance is no object. You could be hundreds of miles away, and if you can reach someone who has the other 'remote' for your car, you can unlock the doors (or the trunk).

Editor's Note: *It works fine! We tried it out and it unlocked our car over a cell phone!'*

How does this work? How are signals being sent and then relayed to the locked car?
 
huu mtindi bongo ni old......wezi walikuwa wanaiba magari kwa style hii....ikasemwa sio vizuri ukiwa bar kuacha key yako mezani.....
.ni hivi ukiweka key yako ya gari mezani mie tumekaa wote kwenye meza nashika shika zile key na mwenzangu anakuwa karibu na ulipopaki gari mimi nampigia simu na yeye anapokea wakati huo huo nikiwa na key zile nabonyeza kibatani na kule ina ji unlock.....
...watu waliibiwa sana
 
Sijawahi kufanya hii kitu ila swali langu ni kwamba hizo signals zinatumwaje kutoka kwenye remote keys kupitia hiyo cell phone hadi kufungua gari? au hii mechanism yote inawezeshwa na kitu gani? Naomba nifafanulie mazee.
 
Mmmh hii ni very mpya kwa kweli lakini kama cellphone yako ina sense na car key yako...Kuna magari mengine sijui kama GQ ile gari yako ipo na ile funguo ya gari ambayo ina-sense mwili wako..if and only if you have a car key with you..ukishika gari ikajifungua au start by itself.
 
Ndio maana hii haiingii akilini Kelly ingawa ni kitu kinachowezekana pale tu ambapo teknolojia itatumika vizuri katika hizi devices zote.

Nadhani General Motors wanatumia OnStar kufungulia watu locked doors remotedly na wao wanatumia satelite kwenye hiko kitu.

Kitu ambacho kinawezekana ni kwamba wanaweza ku-design remote keys ambazo zitakuwa na signals fulani ambazo zinaweza kuwa detected na cell phones na hapo hapo kuweza ku-relay hizo signals kwenye ile remote cell phone ambayo itaweza kuwasiliana na hatimaye ku-signals locks za gari zijifungue.
 
Last edited:
huu mtindi bongo ni old......wezi walikuwa wanaiba magari kwa style hii....ikasemwa sio vizuri ukiwa bar kuacha key yako mezani.....
.ni hivi ukiweka key yako ya gari mezani mie tumekaa wote kwenye meza nashika shika zile key na mwenzangu anakuwa karibu na ulipopaki gari mimi nampigia simu na yeye anapokea wakati huo huo nikiwa na key zile nabonyeza kibatani na kule ina ji unlock.....
...watu waliibiwa sana

There you are Sir, I was thinking in the same line. That's the negative part of it.
 
kitia is right on cue,everyone beware,if you have one of those expensive cars,before you remotely open the car,watch out for a suspicious car parked behind your car,cause the moment you press the key,the waves are taped by a lap top like gadget by the person in the car parked behind.its now just a matter of time,the moment you leave your car the person drives the car away,funny though although some of these cars have trackers installed yet are never seen again
 
Relaying remote entry syem signals via telephone migh work if the signals were sound-based, but they're not. An RKE system transmits an encrypted data stream to reveiver inside the automobile via an RF signal, a signal that can't be effectively relayed via cellphone. "In any event, RKE systems and cell phones typically operate on completely different frequencies.
snopes.com: Cell Phone Unlocks Keyless Cars
 
...it's funny but it works in some cars... nishawahi kufungua peugeot 306 kwa njia hii, tena sio mara moja wala mbili... nimerudia tena na tena na tena... inafungua!!!

But couldnt do it with Volkswagen Polo!!! sasa sijui magari ya Mjerumani (BMW, Volkswagen, Merc, na Audi) yana security features imara zaidi kuliko ya mfaransa au la...

Nadhani hata Toyota, au Nissan yatasumbua pia kufunguka kwa njia hiyo. Its all about radio waves zinazokuwa transmitted via mobile fone (ya mwenye Car-key remote device) kwenda kwenye mobile fone ya mtu aliye karibu na gari, hata kama huyo mwenye device akiwa China! :D
 
kitia is right on cue,everyone beware,if you have one of those expensive cars,before you remotely open the car,watch out for a suspicious car parked behind your car,cause the moment you press the key,the waves are taped by a lap top like gadget by the person in the car parked behind.its now just a matter of time,the moment you leave your car the person drives the car away,funny though although some of these cars have trackers installed yet are never seen again

There is no such thing, the signal is encrypted and unique every time it is transmitted therefore the signal you capture will not work the next time.
 
Hii ni moja kati ya habari nzuri ambayo nimewahi kuisoma hapa Jamiiforums. Haikuanzia kwenye magazeti, inaelemisha. Nadhani kuna umuhimu wa kuangalia kama zile habari zilizoandikwa kwenye magazeti halafu "thread staters" wanacopy na kupaste, inakuwa thread mpya. Labda thread mpya iwe ni breaking news hata kama itaandikwa na magazeti baadae hilo sawa.
 
Kwa nini watu tunabishana wakati keyless cars tunazo, simu tunazo basi na tukajaribu then tuone kama it works au laa! Mimi nitajaribu (Mark 11 baloon)yangu kesho...will give you feedback!
 
Heard it sometimes back....tried it....didn't work!

Don't know about the abracadabra of wave/signal transmissions
 
Kwa nini watu tunabishana wakati keyless cars tunazo, simu tunazo basi na tukajaribu then tuone kama it works au laa! Mimi nitajaribu (Mark 11 baloon)yangu kesho...will give you feedback!

Utafiti nilioufanya jana majibu yake haya hapa. Nimejaribu kutumia remote nikiwa katika chumba kilicho karibu na dirisha "remote key bila phone" ikafungua, nilipoenda sebureni chumba kimoja ndani; remote imeshindwa kufungua ndipo nikaacha simu juu ha hood nikaenda tumia simu nyingine ndani, LIKAUNLOCK "it works" then nikaenda chumba kingine mbali zaidi ndani ya closet nikajaribu ikafungua. Nilifurahi sana. Jioni nilipokuwa naelekea shule nikaacha Remote Key nyumbani by the way shule ipo kama 8 miles hivi, wamejaribu kunipigia simu mara kibao hakuna kilicho endelea. Conclusion
"It does't Work"!!!! this is only one sample on a huge population....Tafadhari wengine mliojaribu tupasheni, pls pay closer attantion to the distance btn u and u r vehicle. it should be over 300 Meters away.
 
Kwa nini watu tunabishana wakati keyless cars tunazo, simu tunazo basi na tukajaribu then tuone kama it works au laa! Mimi nitajaribu (Mark 11 baloon)yangu kesho...will give you feedback!

This does not work kabisa.....nimejaribu leo nikiwa umbali kama 11kms kutoka home mpaka ofcn , then kampigia wife akachukua remote key ya spare na kubonyabonya several times karibu na simu yake na mi kule ofcn nikiwa karibu na gari.....hakuna kilicho tokea! So this does not work labda ukiwa close sana.....!

Mimi sio mtaalam wa maelectronics so watalaam fanyeni uchunguzi tena!
 
Back
Top Bottom