Haumwamini mwenzi wako au rafiki yako?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Napenda kufahamu tu,

Kila mmoja ana rafiki wa karibu (best friend)
Kwa wadada haswa,mna best friend wa kike.....
Ambaye mmepita katika milima na mabonde pamoja...

Mmeshirikishana pale mlipo cheka na kulia pia...
Unaweza fanya chochote kwa ajili ya rafiki yako huyu...

Lakini kwanini inapo kuja swala la rafiki yako kuonekana
karibu na mwenzi wako unakuwa hauna amani kabisa?

Ni kwamba haumwamini rafiki yako au haumwamini mwenzi wako?
 
Mimi mpenzi wangu alimuoa my best friend aisee
kuna watu na viatu acha tu kaka
unaliwa hapo
Tukubali ukweli tu!
Huyo rafiki yako ana Quality moja au zaidi ambazo wewe huna...kataa ukubali!
Smtymz lazima tukubali udhaifu...!
Jiangalie kuanzia Lugha, Usafi/uchafu, ukarimu, kuwajibika etc!
Kama uko makini jaribu kumtafuta rafiki yako akusaidie akwambie alimpa nn cha ziada b/f wako hadi akaamua kukutupa mkono!..huenda maujanja hayo yakakusaidia mbele ya safari!
Pole!
 
Mimi mpenzi wangu alimuoa my best friend aisee
kuna watu na viatu acha tu kaka
unaliwa hapo
pole sana sister manake hii makitu huwa naona unaiongeleaga sana,
mi mwanzon nilifikiri mautan kumbe upo siriaz, POLE SANA MUNGU ATAKUPA WAKO,
 
Urafiki na uaminifu ni vitu vilwili tofauti. Kwahiyo inategemea jinsi unavyomfahamu kwa karibu zaidi rafiki/mwenza wako. Wengine hawana sumu.
 
...hivi ulishasikia kuna watu ukiwapa hela(billions) apeleke mahali zitafika...lakini sio umpe MKEO...hatofika salama...namaanisha uaminifu kwenye mapenzi ni WHITE ELEPHANT...
 
hivi naomba niwaulize wadada kipi bora..ushare penz na mtu unayemfaham kama rafiki yako au mtu baki tu usiye mjua?.. Kuna dada mmoja aliwai kumuomba mume wake amuoe rafiki yake ili wawe wote jamaa akakubali akamuoa huyo dada.
 
Wewe ukisha kuwa na mke mwaminifu usiwe na wasi wasi na marafiki au maadui.


Mwanaume lazima ujiamini, ukisha anza kumshakia shakia au kuwa na wasi wasi na mke/rafiki wako, lazima utakuwa una weakness flani tu... si utani.

 
Kuna watu ambao unaweza waacha na mwenza wako na wala usiwe na wasi wasiKuna wengine huwezi hata kuwakaribisha karibu na mwenza wako.Inategemea na mtu huyo unamsomaje.Uaminifu ni kitu cha ajabu sanaKuna watu wananiamini 95% na mambo yao yoteWakati mie nawaamini 40%Kuna mtu anamwamini 98%Japo yeye ananiamini 70%
 
tukubali ukweli tu!
Huyo rafiki yako ana quality moja au zaidi ambazo wewe huna...kataa ukubali!
Smtymz lazima tukubali udhaifu...!
Jiangalie kuanzia lugha, usafi/uchafu, ukarimu, kuwajibika etc!
Kama uko makini jaribu kumtafuta rafiki yako akusaidie akwambie alimpa nn cha ziada b/f wako hadi akaamua kukutupa mkono!..huenda maujanja hayo yakakusaidia mbele ya safari!
Pole!
pj bwana sijui kama alinizidi au vp
ila walipeana mimba na jamaa aliniomba msamaha mimi nikakataa ni story ndefu mdada akahamia kwa jamaa kwa lazima
na walishaachana

ila kwangu wote wana tabia mbaya hawafai
 
kuna watu ambao unaweza waacha na mwenza wako na wala usiwe na wasi wasikuna wengine huwezi hata kuwakaribisha karibu na mwenza wako.inategemea na mtu huyo unamsomaje.uaminifu ni kitu cha ajabu sanakuna watu wananiamini 95% na mambo yao yotewakati mie nawaamini 40%kuna mtu anamwamini 98%japo yeye ananiamini 70%
maziwa ya mgando nakuaminia nikikuona mahali roho inalipuka
 
Usijali, siku moja nitakukaribisha mahali tupige story.
HII ITAUSIKA SIKU HIYO STORY
01AweCZ4tCVOgAlKAOAADfgRQqmKU:.mp3
ZITANOGA KWELI
 
Back
Top Bottom