Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Umoja sio hoja. Kama ishu ni umoja tulikosa nchi za kujiunga nazo? Kuna wazambia huku wamalawi mozambique etc huku mimi naona wako poa zaidi and we share a good history with them.
Kama ni suala la Umoja nadhani tungeimarisha SADC that EAC; Naunga mkono hoja hii kama ni ties; huku Kusini ndiko tuna asilimia kubwa ambapo hata damu yetu ilimwagwa kwa ajili yao!
Naomba kuuliza ; Baada ya EAC tunaendelea kuwa wadau kamili wa SADC?